Ulishawahi kumuota member wa JF?

Inna Umemuota Baby wa Neybrighty wakati wa kwako inasemekana ni Saint Ivuga!
Ukuje huku sitaki nikubebe....

Sijamuota kwa ubaya lakni....saint ivuga ndo nani ata simjui tokea nijiunge jf
 
Hahhahaha sasa anao wangapi au mnashare na khantwe??me shem wangu tu huyo shogaa usipate tabu
Hee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.

Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…