Ulishawahi kumuota nani humu JF?

Ulishawahi kumuota nani humu JF?

Nilikuja gundua badae kwa kutafuta quotations. Siku hizi hauko active sana labda. Gf wangu nilimuita hivyo, sijui yupo wapi kwa sasa.
Ndo Mimi,

Kuna ujinga ujinga mwingi humu mara nyingi Ni msomaji tu
Gf ulimuita kapeace au sijakuelewa?
 
Ndo Mimi,

Kuna ujinga ujinga mwingi humu mara nyingi Ni msomaji tu
Gf ulimuita kapeace au sijakuelewa?
Nilimuita hivyo kabla sijajua ID yako. Alirudi kwao Rwanda nikapoteza mawasiliano nae. Badae ndo nikajua ID yako nikaipenda sana.
 
Hahah yawezekana ndo wanasema milima haikutani binadamu hukutana.
Lakini najua sio wewe ingawa nilipenda sana kuona comments zako kwa sababu yake.
Waswahili wanasema duniani wawili wawili
 
Back
Top Bottom