Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Noelia=kapeaceMimi niliwahi kumuota kapeace sijui siku hizi yuko wapi. Nampenda sana huyu member
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noelia=kapeaceMimi niliwahi kumuota kapeace sijui siku hizi yuko wapi. Nampenda sana huyu member
Nilikuja gundua badae kwa kutafuta quotations. Siku hizi hauko active sana labda. Gf wangu nilimuita hivyo, sijui yupo wapi kwa sasa.Noelia=kapeace
Ndo Mimi,Nilikuja gundua badae kwa kutafuta quotations. Siku hizi hauko active sana labda. Gf wangu nilimuita hivyo, sijui yupo wapi kwa sasa.
Nilimuita hivyo kabla sijajua ID yako. Alirudi kwao Rwanda nikapoteza mawasiliano nae. Badae ndo nikajua ID yako nikaipenda sana.Ndo Mimi,
Kuna ujinga ujinga mwingi humu mara nyingi Ni msomaji tu
Gf ulimuita kapeace au sijakuelewa?
Aisee Kama hadithi vile labda ndo mieNilimuita hivyo kabla sijajua ID yako. Alirudi kwao Rwanda nikapoteza mawasiliano nae. Badae ndo nikajua ID yako nikaipenda sana.
Hahah yawezekana ndo wanasema milima haikutani binadamu hukutana.Aisee Kama hadithi vile labda ndo mie
Waswahili wanasema duniani wawili wawiliHahah yawezekana ndo wanasema milima haikutani binadamu hukutana.
Lakini najua sio wewe ingawa nilipenda sana kuona comments zako kwa sababu yake.
Babe Mimi na wewe tunaotana kila siku