Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago.
Wakati nafanya kazi dar es Salaam kwenye kampuni flani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike.
Kila ofisa mzoefu alikabidhiwa binti mmoja amfunze kazi pale kwa ofisi. Mimi nilikabidhiwa binti mmoja mrefu na mwenye shape kama Hamisa Mobeto(jina kapuni)
Ktk kumpa uzoefu kazini, tukazoeana hadi kufika stage ya kumpiga sound ila hakunipa jibu lolote.. Ila akawa anaelewa hisia zangu sasa.
Baada ya wiki kadhaa, nikamkaribisha Getto... Akajibu tu nitakujuza nikiwa free.
Siku moja jumapili, akanipigia simu, 'Mjina uko nyumbani?' nikamjibu ndio.. Akaniambia niko hapa makumbusho, nikitoka nakuja kukupa hi nyumbani kwako. Nikasema sawa. Mwamba nikajikoki vilivyo, nikanunua zana kabisa, kisha nikaweka vinywaji kadhaa kwa friji pamoja na mbuzi choma kg 1 na ndizi rost
Baada ya 1hr hivi akaniambia nimepanda gari, nishukie kituo gani? Nikamwambia shuka Sinza Kumekucha (kituo feki hiki).. Haikupita muda akaniambia nimeshuka tayari njoo unichukue. Nikamwambia achukue bora imlete sehemu nilipo(nilimjuza boda via simu ya demu).
Baada ya muda kidogo akafika. Nikatoka na kumpokea nikamleta hadi getto. Ameingia ndani nikampa juice akanywa, pombe alisema hatumii. Amekaa muda kidogo, akaanza kusema 'Mjina naondoka muda si mrefu',.. Mimi nikapotezea na story mbili tatu ili azoee kidogo. Lakini baada ya dk kadhaa tena akaniambia tena, Mjina naondoka baada ya nusu saa....' nikajiuliza huyu mtoto anataka dyudyu mapema mapema ili aondoke nini?... Nikasema ngoja nimsogelee nianze usumbufu kuona kama atalainika nimle..
Ile nimemsogelea tu, kuanza kumpelekea mkono, aliruka na kuanza kumind kuwa yeye kaja kunisalimu halafu mimi nimeanza kuwaza ngono.. Aka mind kinyama very serious akachukia kabisa hadi akachukua vitu vyake na kusepa bila kuniaga. Wiki inayofata hakuongea na mimi kazini yote, ila baadae akaja kunitext tukarud normal.
Baada ya muda wa wiki kadhaa, akanipigia tena simu siku ya jpil na kusema kajipanga kuja kwangu... Kipindi hiki sikua nimemwomba mimi aje, maana nilikua nishampotezea. Alipofika getto, alinikuta nacheki movie yangu, akaketi na kuanza kuchek movie na mimi... Sikutaka kumgusa tena maana aliniudhi that day.. But nikasikia ansema tena kuwa Mjina ninaondoka si muda, nikamjibu sawa.. But hakuondoka bali kila baada ya muda anarudia kuwa anataka kusepa... Nikasema hii pisi itakua leo imekuja kwa ajili ya dyudyu... Nisipoila itanidharau.. Nikaisogelea, nikaanza kuipigisha story za mapenzi na baada ya muda nilipoona kama anapata hisia, nikaanza kupitisha mkono kwenye mapaja maana alikua kavaa skirt fupi.... Yaani akaleta Mchezo ule ule na akamind na kusepa.. Akanitumia txt nimsindikize, sikwenda na txt sikujibu.
Kazini tukarud akanisalimia namjibu kisha naendelea na mishe zangu. Nikawa mazoea sitaki kabisa maana pia kazi alishazoea...
Out of nowhere, weekend moja nimechill getto mida ya saa moja, nikasika mlango umegongwa, kufungua, mrembo huyu hapa tena.. Akaingia ndani wala sikumkaribisha.. Wala sikumpa maji, wala chochote cha kula/kunywa. Kwakua alikua kazoe pale kidogo, alijisevia mwenyewe huku mm nacheki movie nimejilaza kwenye kapeti pale sebuleni.. Yeye alijilaza kwenye sofa..
Baada ya muda akasema kachoka kulala kwenye sofa, akasogeza mto chini kwenye kapeti akaja akalala uelekeo ule niliokua nimelala. Sikua na time nae, yeye ndo alikua akiniongelesha na kujichekesha. Ikatokea kuna wakati anajigeuza, akajikuta kaniwekea mkono kwenye kifua (nilikua kifua wazi).. Nilisisimuka mwili mzima huku dushe ikisimama kwa mwendokasi maana mikono ilikua laini ile... Ushetani ukanipanda, nikamgeukia nikajaribu tu kushika ziwa... Alinyanyuka pale chini like flash na ku shout kuwa mimi tabia yangu ni ile ile kuwaza ngono kila akija.
Wakati huo mvua ilikua inanyesha, alivaa viatu vyake, akachukua mkoba wake na alikua na kimwavuli kidogo akasepa kwa hasira... Nili mind kinyama nikamtxt 'usikae uje getto kwangu tena'.. Ilikua majira ya saa tatu usiku. Basi baada ya ile txt yangu, akanipigia simu sana sikupokea. Akanitumia txt..'Im sorry Mjina, I will give my body to you siku ukija kwetu kujitambulisha kuwa unataka kunioa'... Sikumjibu na nikampotezea mazima.
Sasa wakuu, kuna yeyote yule ameshawahi kutana na situation kama hii na dem kuja getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda? Au niko peke angu?