Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Wanawake wa kiafrika hawatabiriki mkuu hadi umto.mbe ndo mtaenda sawa hasa hivi viserenget fulu usmbufu pale mwanzomwanzo
 
Hizi mambo za kulazimisha kufukunyua kipochi manyoa nilishaacha na siwezi tumia nguvu nyingi kuomba gemu, moja naona kama inanitoa kwenye mudi ya kuchakata.

Niliwai enda na mtoto night kali lodge kufika mtoto kasaula afu anabana ..muhuni nikaomba kutoka nje kidogo nikale zangu bia , nikapigia manzi nyingine ikatiki nikachukua chumba pale pale, afu nikaingiq zangu kula bia na bebe ingine usiku nikarudi nikajilia vyangu, asubuhi nikafukuza ya kwanza nikarudi kupiga cha asubuhi na kusepa.

Baadae demu analalamika uliniacha watu wanasumbua na kelele zao chumbq jirani[emoji1377][emoji2]
 
Wanawake wa kiafrika hawatabiriki mkuu hadi umto.mbe ndo mtaenda sawa hasa hivi viserenget fulu usmbufu pale mwanzomwanzo
Asee tutajajisifia sana lakini hakuna kitu kinanipa majuto na guilty moyoni kama kulala na mwanamke kimasihara [emoji16][emoji16] hata kama alijirahisisha mwenyewe. halafu ukute sina mpango wa kumuoa .huwa najutia sana kwa kweli.
 
Chakupewa na Mungu kumnyima mwenzio zambi.😂😂😂😂
 
Kuwa kama mobeto hilo napinga.huna jeur hyo ya kuchkua watoto wakali

Pili...huyo demu nikwel anamaanisha.anataka mtu serious.tofaut na bwana wake wa sasa ambae anakula tuu anavyotaka bila future.so hatak iendelee kutoa hivyo hvyo kwa bwana mwingne.so wew anataka yale mambo ya had ndoa wakat kunaa mwingne anampa huko kiroho saf
 
Ulitakiwa umfukuze utumie chumba hichohicho
 

honest speaking iliwai kunitokea lakin kwa uzembe wangu binafsi na sikujutia sana kwa sababu nilikuwa kusahihisha makosa kirahisi sana ilikuwa ivi

nilikuwa napita Pita fb kuna picha moja niliiona nkaweka kituo na kuamua kumchunguza mmiliki ni Nan kwa Bahati iliyokuwa nzUri alkuwa yupo online basi nkaamua kumtext
Me; "sura yako sio ngeni kama nmewai kuiona mahari!!!"
Ke; mhhhh umenifananisha utakuwa.
me; yote yanawezekana either nmekufananisha au nakujua, simu yangu inakaribia kuisha chaji na mimi sio mpenzi sana wa fb, naomba npatie mawasiliano yako nje ya fb tujadili kwa Urefu hili swala.
ke; mhhhh mi skujui hivyo swezi kukupa namba yang.
me; ouky kama hutojari yangu 065*****
nkavunga siku iliyofuata mchana naona text inaingia "mamb"ukaribu wetu ukaanzia hapo mwisho nkamkaribisha geto pis likaibuka
alniambiaga anapenda movie nkamwekea am in love with a church girl
huwezi amin tumeangalia movie mpaka inaisha ndo naanza kumtomasa aaaah aliniluka akaondoka sjamnjunja
pindi anataka kwenda shule likizo ilvoisha nlimwambia nnazawad yake si akaja kuifata geto hahahaaa alkuta nmemwandaria chupa ya asari nlimpaka kila kona ya mwili wake.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah dea jomoneeeeeh lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…