Ulishawahi kuona malaika?

Ulishawahi kuona malaika?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Hello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story

Ilikuwaje

Anaonekanaje

Alisema nini

Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa macho yangu

Ikiwa na wewe mpenda story stay tunned tuwasikilize marafiki zetu
 
Jitahidi tu ukisome. Ni kitabu Bora kuliko vitabu vyote duniani na mbinguni
Sikweli
Nilishawahi kuwasikia wakinisemesha wakinionya juu ya jambo Fulani sikuisikiliza Ile sauti baada ya miaka kadhaa lile jambo nililoambiwa kweli likaniletea madhara
Haukuwaona
Anataka kusikia kutoka jqa watu waliopo humu JF, nani kamuona malaika? Hataki hadithi, soma tena.
100%
Hana kasoro. Siioni.

Complete package
Basi kama ni malaika huyo ni wagiza utazaa wanefili hakuna binadamu katika mwili ni mkamilifu
Ili umuone malaika utakatifu unahitajika. Malaika ni watakatifu mtu mchafu hawezi kumuona
Hapo chacha ni kazi ya ziada
Kila nikimcheet mke wangu ndoto nyingi za uncertainty hunitokea kwa hunionya nisimwache huyo mwanamke (mke wangu),na baada ya muda mchache wa ndoto huwa naachana na mchepuko.
Explain more kwaiyo unafikiri ni malaika
Itabid ufe kwanza then ndo utamuona kwa macho yako😂
Kama nitaweza kurudi duniani hilo sio swala
 
Back
Top Bottom