Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Malaika ni viumbe wasafi wanaomtii Mungu wa Biblia! Nje ya imani ya Biblia huwezi kuwaona!Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaika ni viumbe wasafi wanaomtii Mungu wa Biblia! Nje ya imani ya Biblia huwezi kuwaona!Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Kwaiyo kwenye kuona unanishauri nini?Kwa ufupi malaika ni wajumbe wa Mungu wa Biblia! Kuna malaika wasiokuwa na miili wanaokuja kwa mission maalum na malaika ambao ni Walokole (hapa naongelea walokole wa ukweli sio wale wanaojitafuta) kibiblia wanaitwa "malaika", katika kitabu cha Ufunuo "kwa malaika wa makanisa yale saba", hao malaika wanaotajwa ni "walokole"! Mungu wa Biblia anaweza kuwatumia walokole walioko hapa duniani kufanyakazi kama "malaika" wasiokuwa na miili!
Malaika ni wengi na hujitokeza katika maumbo ya wanadamu na kusema na watu mara nyingi bila watu hao kufahamu.Hello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story
Ilikuwaje
Anaonekanaje
Alisema nini
Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa macho yangu
Ikiwa na wewe mpenda story stay tunned tuwasikilize marafiki zetu
Ndio. Alinitokea ili kutoa kiburi changu.Hello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story
Ilikuwaje
Anaonekanaje
Alisema nini
Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa macho yangu
Ikiwa na wewe mpenda story stay tunned tuwasikilize marafiki zetu
Tupe na huo ufunuoMalaika ni wengi na hujitokeza katika maumbo ya wanadamu na kusema na watu mara nyingi bila watu hao kufahamu.
Utakutana na mtu usiyemjua akakuongoza katika jambo na baadaye akatoweka na utakuja kushangaa yule alikuwa nani mbona hata sikumuuliza jina au kumtizama sana usoni? Hao huwa malaika mara nyingine.
Kuna wachache hutokewa na malaika live inapokuwa lazima sana.
Pia wengine hukutana na malaika katika ndoto.
Jua pia kuwa mashetani huja kwa watu kwa njia hizo hizo.
Nikwenda Nairobi miaka mingi iliyopita kutafuta chuo. Nilifuatilia registration lakini sikupata. Wakati nipo jijini mle nilichujua hosteli kama kilometer 2 kutoka chuoni. Lakini ilinibidi kuhama hostel hizo baada ya kukosa usajili ili nikae nyumba ya wageni usiku ule kabla ya kurejea Tanzania.
Nilighadhbika sana mchana ule hadi kukaribia usiku. Nilisali sana kumwomba Mungu anisaidie niwe salama. Wakati natoka getini nilikuwa nimebeba shehena ya mabegi yangu kichwani narudi nyumba ya wageni na ilikuwa kuelekea saa 1 usiku.
Nairobi ya 2003 ilikuwa na uhalifu wa kutisha. Ghafla ilikuja tax nyuma yangu na mtu mmoja nisiyemfahamu alifungua mlango na kuniambia unafika wapi, nikupeleke? Unajua wakenya sio wakarimu kama watanzania tena ndani ya nairobi na tena kwa mtu asiyekujua ndio usiseme.
Bila kuwa na hofu nipanda tax na kumwambia nilikokuwa nakwenda. Mtu yule alinipeleka hadi hatelini na kuniacha pale huku akinipa namba ya simu na hakunichaji chochote! Kenya tena katikati ya Nairobi?!!! Alikuwa mkarimu ajabu!
Ajabu ni kwamba siku mark sura yake na hata ile namba ya simu sikujua niliiweka wapi!
Niliporudi Tanzania niliwaadithia ndugu zangu wanaojua Nairobi na walitetemeka sana kusikia nimepanda tax Nairobi ya mtu nisiyemjua!
Baadaye nilipata ufunuo kuwa hakuwa mtu wa kawaida ila malaika! Bwana Mungu asfiwe sana!
Mzee hii how comes?Ndio. Alinitokea ili kutoa kiburi changu.
Shuleni nilikuwa naonekana kipanga wa somo la Physics, nilijiona kama Mungu duniani.
Sasa usiku wa manane, nikamuona Malaika katika ndoto anawaka sana, nikapelekwa ubaoni, akaandika swali la topic la Heat and Thermodynamics, nikaliangalia nikasema lishaisha, akacheka, aisee nikachukua chaki, nikasolve , aisee nilimaliza ubao bila jibu, baadaye nikaamua kukiri wazi hapa sijui, Malaika akasmile , akachukua chaki akasolve kipande kichache tu na jibu akaliandika, akili yangu ikafunguka na kuona jibu ndo hilo.
Aisee nikaacha kuwa na kiburi kabisa na hata sasa sina kiburi tena.
Mmmh hii ni kweliMara ya pili ikatokea pale shuleni nilipoamua kuwa Atheist, nikasema kwa mdomo wangu Mungu hayupo na Yesu hayupo, Sayansi ndo imechukua nafasi ya Mungu.
Tena usiku wa manane nikaota ndoto, nilikuwa kwenye hatari ya watu waovu baada ya kujua siri zao , akatokea Malaika akanichukua na kunipeleka sehemu ya paradiso, nikakaa nje, sikuruhusiwa kuingia ndani, sasa mageti yakafunguliwa, nikamuona mtu akismile, akiwa na ndevu, Yesu ambaye nilisema hayupo. Aisee nilipigwa na butwaa.
Mbona hivyo vitu havitokei kwangu na ulijuaje ni YesuMara ya pili ikatokea pale shuleni nilipoamua kuwa Atheist, nikasema kwa mdomo wangu Mungu hayupo na Yesu hayupo, Sayansi ndo imechukua nafasi ya Mungu.
Tena usiku wa manane nikaota ndoto, nilikuwa kwenye hatari ya watu waovu baada ya kujua siri zao , akatokea Malaika akanichukua na kunipeleka sehemu ya paradiso, nikakaa nje, sikuruhusiwa kuingia ndani, sasa mageti yakafunguliwa, nikamuona mtu akismile, akiwa na ndevu, Yesu ambaye nilisema hayupo. Aisee nilipigwa na butwaa.
Kuhusu nini mkuu?Mzee hii how comes?
Kweli kabisa nikiwa form six pale. Yaani ile shule ndo nilipata spiritual encounters.Mmmh hii ni kweli
Hakuna siri kwenye ulimwengu wa roho. Kila kitu kipo wazi, hafanani na Yesu wa movie.Mbona hivyo vitu havitokei kwangu na ulijuaje ni Yesu
Nikisema malaika ain't real ni product ya imagination delusions na hallucinations caused by religious or cultural indoctrination nitaambiwa naharibu Uzi..🥺ngoja niache mtoe shuhudaHello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story
Ilikuwaje
Anaonekanaje
Alisema nini
Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa macho yangu
Ikiwa na wewe mpenda story stay tunned tuwasikilize marafiki zetu
Mwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.Mbona hivyo vitu havitokei kwangu na ulijuaje ni Yesu
Jibril ni Nini mkuuSoma Quran jifunze kuhusu jibril
Haya masharti Hayana tofauti na ya mganga wa kienyejiMwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
Kama hujabatizwa , kabatizwe.
Jazwa na Roho Mtakatifu.
Ishi maisha matakatifu, soma Maandiko matakatifu upate maarifa alafu tumia maarifa hayo pamoja na maneno yako kuomba kwenye sehemu ya siri, fanya consistently. Utaanza kuona. Ukifunga itakuwa vizuri zaidi.
Tofauti ni kwamba hutoi hela wala sadaka ya ng'ombe, mbuzi au binadamu. Hupigwi chale wala huzunguki na kibuyu njia panda ya kike au kiume.Haya masharti Hayana tofauti na ya mganga wa kienyeji