Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Toa kisa au nimweupa na dimpoz ndio malaika kuwa serios basiMke wangu nahisi ni Malaika sio Mwanamke wa kawaida.
Sina na siwezi hata kusoma mimi mkristoSoma Quran jifunze kuhusu jibril
Jitahidi tu ukisome. Ni kitabu Bora kuliko vitabu vyote duniani na mbinguniSina na siwezi hata kusoma mimi mkristo
Anataka kusikia kutoka jqa watu waliopo humu JF, nani kamuona malaika? Hataki hadithi, soma tena.Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Hana kasoro. Siioni.Toa kisa au nimweupa na dimpoz ndio malaika kuwa serios basi
Kwaiyo hakuna aliyewahi kumuonaMalaika anakutokea kwa njia ya kibinadam (kutupitia watu) au maono/ndoto. Na mara nyingi ni ngumu kufahamu kama kiroho haujakomaa.
Usitegemee kumuona malaika physically.
SikweliJitahidi tu ukisome. Ni kitabu Bora kuliko vitabu vyote duniani na mbinguni
HaukuwaonaNilishawahi kuwasikia wakinisemesha wakinionya juu ya jambo Fulani sikuisikiliza Ile sauti baada ya miaka kadhaa lile jambo nililoambiwa kweli likaniletea madhara
100%Anataka kusikia kutoka jqa watu waliopo humu JF, nani kamuona malaika? Hataki hadithi, soma tena.
Basi kama ni malaika huyo ni wagiza utazaa wanefili hakuna binadamu katika mwili ni mkamilifuHana kasoro. Siioni.
Complete package
Hapo chacha ni kazi ya ziadaIli umuone malaika utakatifu unahitajika. Malaika ni watakatifu mtu mchafu hawezi kumuona
Explain more kwaiyo unafikiri ni malaikaKila nikimcheet mke wangu ndoto nyingi za uncertainty hunitokea kwa hunionya nisimwache huyo mwanamke (mke wangu),na baada ya muda mchache wa ndoto huwa naachana na mchepuko.
Kama nitaweza kurudi duniani hilo sio swalaItabid ufe kwanza then ndo utamuona kwa macho yako😂
Quran sio hadithAnataka kusikia kutoka jqa watu waliopo humu JF, nani kamuona malaika? Hataki hadithi, soma tena.
Wakristo sikuhizi tunasoma kwsbb wanayo iliyoandikwa kwa Kiswahili hata Wachungaji wanasomaSina na siwezi hata kusoma mimi mkristo
Hapo hafadhaliWakristo sikuhizi tunasoma kwsbb wanayo iliyoandikwa kwa Kiswahili hata Wachungaji wanasoma