Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

Pedrz

Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
89
Reaction score
116
Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada. Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli

Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana. Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
 
Si kitu kizuri kwa wadada kwenda na rafiki kwa boyfriend ingawa katika mawazo yao hufanya hivyo siku akijisikia hataki kugongwa siku hiyo, kumkoga tu rafiki yake au pia kukutega na kukujaribu mwanaume aone misimamo yako. Inawezekana hata hiyo ya binti rafiki kujitongozesha kwako ikawa ni planned. Hivyo inabidi uwe makini unaweza kuwakosa wote!
 
Hongera ndo jinsi ya kupambania kombe
 
unatafuna wote watajua hawajui
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…