Daaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,
Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu
Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada
Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli
Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana
Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?