Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

Hilo limewahi kuwa pigo takatifu kwangu.
Kuna hiyo demu yangu nilikuwa nayo niliipataga Kwa tabu sana.Yaani mpaka kuipata mpaka nilienda kujitambulisha kanisani kwao.

Sasa penzi lilikuwa Moto Moto yaani full malavidavi, akija geto,anapika,anafua,anadeki,atetavizuri

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ulikosea hesabu.

Me enzi za ujana nimetafuna sana, marafiki zake hata madem wa rafiki zangu, ambao nilikuwa najua siyo main.

Cha msingi ujue mwingine yuko wapi muda wa tukio
 
Daaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,
Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada
Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli
Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana
Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Mimi imwnitokea mara nyingi sana,ila huwa siwaachi nawala sana
 
Wakati naongea na demu wangu Y kwenye simu nikasikia sauti ya mtu anaimba nikamuuliza huyo nani anaimba akaniambia ni mtoto wa mama ake mdogo nikamwomba niongee nae japo nimsalimie akafanya kosa akampa huyo dogo namba yangu ilituwe tunawasiliana badae nikaja kumega wote
 
Daaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,
Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada
Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli
Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana
Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Kuwa makini mkuu wadada wana tabia ya kutega kupima misimamo so isije kuwa unalengeshwa
 
Back
Top Bottom