Ulikosea hesabu.Hilo limewahi kuwa pigo takatifu kwangu.
Kuna hiyo demu yangu nilikuwa nayo niliipataga Kwa tabu sana.Yaani mpaka kuipata mpaka nilienda kujitambulisha kanisani kwao.
Sasa penzi lilikuwa Moto Moto yaani full malavidavi, akija geto,anapika,anafua,anadeki,atetavizuri
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mimi imwnitokea mara nyingi sana,ila huwa siwaachi nawala sanaDaaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,
Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu
Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada
Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli
Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana
Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Aisee Ss hapo si kabaki mama tu ndo ambaye hupigi??[emoji23][emoji1787] me wise napiga at Akiwa ni ndugu wa damu
unataka kusema vipHalafu unajiita wise??.
Si ungejiita mdangaji tu!!.
[emoji15][emoji15][emoji15]laaanatullah[emoji23][emoji1787] me wise napiga at Akiwa ni ndugu wa damu
[emoji23][emoji1787] me wise napiga at Akiwa ni ndugu wa damu
Mtu Wise huwa hayupo km Wewe.Inawekana umejiita wise bila kujua maana ya neno hilo wise.unataka kusema vip
Kuwa makini mkuu wadada wana tabia ya kutega kupima misimamo so isije kuwa unalengeshwaDaaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,