Kuhusu mtoto familia imegoma kunipa mpka siku nitakapo kamilisha taratibu hela ya faini na kugomboa Mtoto na sasa hivi kiwango nimeongezewa kugomboa Mtoto inahitajika milioni 3 since sikufanya matunzo yoyote yaleeKwahyo vip kuhusu mwanao
Kuhusu mtoto familia imegoma kunipa mpka siku nitakapo kamilisha taratibu hela ya faini na kugomboa Mtoto na sasa hivi kiwango nimeongezewa kugomboa Mtoto inahitajika milioni 3 since sikufanya matunzo yoyote yalee
Najipanga mwakani nikamilishe hatua zote nipate million 3 yao na milioni moja iko palepale
Dah kumbe viwañgo almost sawa nimeshangaa hao wa laki5 ni jamaa tu Mie niliambiwa mbuzi mmoja tu nikalipa 50,000 basi mambo yakaishaIliwahi nitokea nilipigwa faini ya mbuzi watatu kila mbuzi 50,000 nikalipa 150,000 maisha yakaendelea mtoto wangu na mamake tunafamilia sasa
Unajisumbua bure! Niliwahi lipishwa kitu kama hicho; baada ya kulipa wazazi wakasema hiyo ilikuwa zawadi kwa wazee tu. Mtoto sikupewa alibaki nao na bado matunzo juu.Kuhusu mtoto familia imegoma kunipa mpka siku nitakapo kamilisha taratibu hela ya faini na kugomboa Mtoto na sasa hivi kiwango nimeongezewa kugomboa Mtoto inahitajika milioni 3 since sikufanya matunzo yoyote yalee
Najipanga mwakani nikamilishe hatua zote nipate million 3 yao na milioni moja iko palepale
Hapo nadhani ni Tanga na si Uchagani maana uchagani kinakuwa mojawapo ya chanzo cha mapato - FURSA kwa Wazazi wa bintiDah kumbe viwañgo almost sawa nimeshangaa hao wa laki5 ni jamaa tu Mie niliambiwa mbuzi mmoja tu nikalipa 50,000 basi mambo yakaisha
Uchagan nomaHapo nadhani ni Tanga na si Uchagani maana uchagani kinakuwa mojawapo ya chanzo cha mapato - FURSA kwa Wazazi wa binti
Halafu akipeleka hiyo pesa lazima alete mbuzi wa kuchinja, wa bibi yake na babu wa mtoto; kesho yake wanachinja mbuzi wa babu yake binti, etc yote hiyo mila ya kula nyama na kunwa mbege kwa kisingizio cha MILA. Bado Komba kyaruuUchagan noma
No ni uchagani tena ila sio kule migombani juu ni mjini Pasua....nilijiongeza tu tukanunua na kreti la bia basi tukanywa pale freshHapo nadhani ni Tanga na si Uchagani maana uchagani kinakuwa mojawapo ya chanzo cha mapato - FURSA kwa Wazazi wa binti
Hao walikuwa ni Wasambaa au wapare wenzanguNo ni uchagani tena ila sio kule migombani juu ni mjini Pasua....nilijiongeza tu tukanunua na kreti la bia basi tukanywa pale fresh