Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
wewe ndio umeonesha msimamoKimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui shangaz na ndugu wengine..jumla kama 7 hv
Nikawekwa kikaangoni...msemaji wa familia(ba mkubwa) akazungumza weeee mwisho wa siku Faini ikawa milion 2.5
1 milion ya kumgomboa mtoto
1.5 ya kumzalisha mwanao nje ya ndoa
Walivyomaliza kuongea nikauliza maswali 2 tu yaliyowafanya wabak wanatoa macho
Kwanza niliwauliza,hiyo faini ipo kisheria?au wamejitamkia?nchi inaongozwa na sheria,kama hyo sheria ipo ntalipa kama haipo SILIPI hata sumni
Pili nikawauliza,binti yenu ana miaka chini ya 18?si mtu mzima 28 years?nilimbaka?si aliridhia mwenyewe kushika mimba?kwa nn nilipe wakati mtoto ni wetu?
Mwisho wa siku mtoto anakaa kwa mama ake..kumuona namuona..kwangu anakuja na ubin anatumia wangu...kwisha habari
salute kwako