Ulishawahi kuposti picha yako halisi katika mtandao kimakosa?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Katika mitandao mingi ya kijamii kama JF, FB, TWITER, INSTA na mingineyo mara nyingi watu hutumia majina ambayo si halisi. Hata picha pia ambzo huweka katika plofie zao huwa si wao wenyewe. Sasa je ilishawahi tokea siku ulituma picha yako halisi katika mtnadao ambao hupendi ujulikane uhalisia wako kimakosa? Nani alikushtua kuwa umetuma picha halisi? au nini kilikufanya ugundue kuwa umetuma picha halisi?
 
mi nawekaga picha zangu coz sinaga cha kuficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…