mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Katika kipande hiki cha video, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anaonekana akijigamba huku akimnadi mgombea udiwani wa jimboni kwake kwa kuwataka wananchi wamchague sababu ameshikana mkono na mtia Saini noti za taifa.
Anaenda mbali nakuwauliza wananchi wake "kama walishawahi kushikana mikono na mtia Saini wa noti za taifa"
Mdogomdogo Hawa waungwana wanaendeleza kujitwika ufalme juhaa🙄
Anaenda mbali nakuwauliza wananchi wake "kama walishawahi kushikana mikono na mtia Saini wa noti za taifa"
Mdogomdogo Hawa waungwana wanaendeleza kujitwika ufalme juhaa🙄