Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ana uwezo wa kumwagia ndani tu
 
DNA test
 
Ishu imeishaje mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata leo tarehe 13 January kanipigia na sms kwa nini nimeblock
mtoto kabisa kafanana na mfunga buti lkn naambiwa wangu la sivyo vitu sipewi
maana nilimpa masharti tuendelee na wizi wetu tukjikinga magonjwa amekataa anadai nilee na mtoto, nina daiwa Ada watoto wangu wawili Primary E/Medium
sijui mnanishaurije, vitu vyake bomba lkn kwanza mtoto juzi kati 2021 nilirudia kidogo tujisahau nikachomoa mpaka leo, huenda ataniloga

rikiboy

 
Mkuu Kwa yanayonisibu Mimi,,nakushauri ukubali na uilee. Hakika miezi Tisa sio kitu. Kwenu Kuna wakubwa mtoto akizaliwa wakimuona watakuambia uhalal wa hiyo damu. Ila ukikataa akatoka wa kwako itakutesa mpk siku ya mwisho. Ila kama sio wako, utaumia Kwa muda TU. Na utaendelea na maisha Kwa amani TU
 
Bado tu hajakata tamaa ? Mlinz nae anaendelea kulea na kumuona mwanaye ?


Mkuu achana naye huyo atakuharibia na kama unampa matunzo sitishapotezee mbona **** zpo nyingi tu

Ningekuwa mimi ningemtukana sana huyo malaya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimelala na mwanamke tarehe 5, ilipofika tarehe 8 jioni ananipigia Simu kunijulisha ana mimba yangu.
Mwizi huyo wahi haraka kapime hospitali nae ina mda gani utakuta wiki [emoji2] au miez hapo sasa unambana

Maana mimba iliyoingia siku tatu haiwi detected kwenye kipimo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno Mkuu maana hapo ni kulikwaa Gonjwa la Ukimwi au Corona
asante sana
 
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ndio yenye mamlaka pekee ya kupima,kuthibitisha na kutoa majibu ya DNA kulingana na sheria ya partenity identification. Gharama kwa sample moja ni laki 2, sample zinatoka kwa watu wawili mpaka watatu. Kulingana na chain of custody ni ngumu sana majibu kupikwa kama watu tunavyodhan ustawi wa jamii ni kitu muhimu sana kwa taifa....kitakwimu 75% ya waliowahi kupima walikutwa sio baba wa watoto.
 
He km ujauzito ni wa mdogo wako DNA itasomaje
Kila mtu ana muundo wa DNA zake ambazo ni tofaut kabisa na mwngine. Watu wanaoshare muundo mmoja wa DNA ni mapacha wanaofanana ambao hao utofautishwa na fingerprint
 
Io ni kwel tena hasahasa hz hospital za serikali ukitaka vipimo vya DNA real nenda nje ya nch au hospital kubwa kubwa km aghakhan nk hawa wapo very serious
Maabara ya mkemia mkuu tu ndo yenye mamlaka ya kupima,kuthibitisha na kutoa majibu ya DNA. DNA haipimwi hospitalini. Msijidanganye hospital wanachukua sample tu.
 
wewe mwenyewe umeonyesha jinsi gani ulivyo kenge
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo mwache uzinzi lo!

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Si ndio maana mnatoa majibu ya uongo kutokana na maslahi ya mtoto hata kama sio wako utaambiwa ni wako
 
walicharge bei gani aseeee
 
Shukuru hata umechaguliwa kusingiziwa "Mzigo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…