Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

hata ukienda POLISI DAWATI LA JINSIA ni 100,000/ au bure km Kesi ni nzito
lkn majibu ndio hivyo tena km alivyosema jamaa hapo juu Itel A51
Mimi yalinikuta, nyumba ndogo, kumbe mm nalisha na chumba nalipia usiku anakuja mlinzi Korokoroni kulala anaacha lindo anaisimamia kwa vidole mali yangu
mtoto kutoka hatufanani kabisa jirani wakanitonya ni wa mlinzi pale kituo cha mafuta
tukafikishana POLISI wakanilazimishia kuwa nikikataa na licha ya kutoa laki nitashtakiwa
niliporudi siku ya pili Mlinzi akajatishia na kukubali ni damu yake hataki na hakuna cha DNA akasaini
kw hiyo mm nikachukua maelezo nakala yangu nikayahifadhi
sasa mwanamke bado ananitaka nilee, nikamuonesha maelezo ya POLISI akadai huyo Baba hana uwezo atamuua mtoto au amnyweshe sumu, NIKAACHANA NAO ingawa mwanamke hajakubali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ana uwezo wa kumwagia ndani tu
 
Habari zenu ndugu?

Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.

Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.

Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.

Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.

2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?

3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.

4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwann akasema "basi tu"

Then two weeks ago ananambia anaujauzito wangu, nashndwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwan vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kua hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.

So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
DNA test
 
Ishu imeishaje mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata leo tarehe 13 January kanipigia na sms kwa nini nimeblock
mtoto kabisa kafanana na mfunga buti lkn naambiwa wangu la sivyo vitu sipewi
maana nilimpa masharti tuendelee na wizi wetu tukjikinga magonjwa amekataa anadai nilee na mtoto, nina daiwa Ada watoto wangu wawili Primary E/Medium
sijui mnanishaurije, vitu vyake bomba lkn kwanza mtoto juzi kati 2021 nilirudia kidogo tujisahau nikachomoa mpaka leo, huenda ataniloga

rikiboy

Mkuu Kwa yanayonisibu Mimi,,nakushauri ukubali na uilee. Hakika miezi Tisa sio kitu. Kwenu Kuna wakubwa mtoto akizaliwa wakimuona watakuambia uhalal wa hiyo damu. Ila ukikataa akatoka wa kwako itakutesa mpk siku ya mwisho. Ila kama sio wako, utaumia Kwa muda TU. Na utaendelea na maisha Kwa amani TU
 
Mkuu hata leo tarehe 13 January kanipigia na sms kwa nini nimeblock
mtoto kabisa kafanana na mfunga buti lkn naambiwa wangu la sivyo vitu sipewi
maana nilimpa masharti tuendelee na wizi wetu tukjikinga magonjwa amekataa anadai nilee na mtoto, nina daiwa Ada watoto wangu wawili Primary E/Medium
sijui mnanishaurije, vitu vyake bomba lkn kwanza mtoto juzi kati 2021 nilirudia kidogo tujisahau nikachomoa mpaka leo, huenda ataniloga

rikiboy

Bado tu hajakata tamaa ? Mlinz nae anaendelea kulea na kumuona mwanaye ?

Mkuu achana naye huyo atakuharibia na kama unampa matunzo sitishapotezee mbona **** zpo nyingi tu

Ningekuwa mimi ningemtukana sana huyo malaya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimelala na mwanamke tarehe 5, ilipofika tarehe 8 jioni ananipigia Simu kunijulisha ana mimba yangu.
Mwizi huyo wahi haraka kapime hospitali nae ina mda gani utakuta wiki [emoji2] au miez hapo sasa unambana

Maana mimba iliyoingia siku tatu haiwi detected kwenye kipimo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bado tu hajakata tamaa ? Mlinz nae anaendelea kulea na kumuona mwanaye ?
Mkuu achana naye huyo atakuharibia na kama unampa matunzo sitishapotezee mbona **** zpo nyingi tuNingekuwa mimi ningemtukana sana huyo malaya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hayo maneno Mkuu maana hapo ni kulikwaa Gonjwa la Ukimwi au Corona
asante sana
 
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ndio yenye mamlaka pekee ya kupima,kuthibitisha na kutoa majibu ya DNA kulingana na sheria ya partenity identification. Gharama kwa sample moja ni laki 2, sample zinatoka kwa watu wawili mpaka watatu. Kulingana na chain of custody ni ngumu sana majibu kupikwa kama watu tunavyodhan ustawi wa jamii ni kitu muhimu sana kwa taifa....kitakwimu 75% ya waliowahi kupima walikutwa sio baba wa watoto.
 
Io ni kwel tena hasahasa hz hospital za serikali ukitaka vipimo vya DNA real nenda nje ya nch au hospital kubwa kubwa km aghakhan nk hawa wapo very serious
Maabara ya mkemia mkuu tu ndo yenye mamlaka ya kupima,kuthibitisha na kutoa majibu ya DNA. DNA haipimwi hospitalini. Msijidanganye hospital wanachukua sample tu.
 
Umenikumbusha stori yangu hii
Kuna mwaka flani nlikua na mahusiano ya binti mmoja iviii, nlikutana nae kingono then baada ya muda akaniambia ana mimba nikamjibu sawa,(mda huo mimi nmeondoka kule tulipokua nmerudi zang kibaruani) then baada ya km miezi 2 au3 ivii akanambia Mimba imetungwa nje ya mfuko wa Uzazi kwaiyo nimtymie hela, NIKATUMA( mimi nikaulizia kwa Wataalamu wangu kua mimba ikitungwa nje ya mfuko wa uzazi inakuaje! Wakanijibu hakuna cha kufanya kuirudisha ndani hapo tu kutoa tu. NIKALISAVE HILI)
Baada ya Muda akanambia Wazazi wake wamemfukuza nyumban kwao sababu ya Mimba saiz yupo kwa Bibi yake anapata shida So nimtumie Nauli aje kwangu
Mi nikatuma nauli, baada ya kutuma Nauli bint akaanza Longolongo kua sijui ela iyo ya Nauli kafanyia nin mara kaanza safari sijui hajiskii vizuri kashukia njiani. Mimi nikamjibu kua Nlitaka kumsaidia lakini kama hataki kuja kwangu kwaiyo asinishirikishe na sinisumbue kwa lolote. Baada ya siku km mbili hivii yule bint akanambia yupo njiani anakuja. Kwel alifika nikampokea na kwenda nae nyumban. Nlipokua nae kwakwel yule bint alijitahidi sana kula ndolo (embe mbichi) lakin tumbo lake lilikua kawaida tu(apo mimba ina miezi 3 au4)
Uyu binti nliishi nae kwa Wiki mbili tu lakini nlichoka utafikiri nimeishi nae Mwaka. Ilifika pahala binti aliandika barua ndefuuuuu kwa Peni nyekundu akitaka kujiua mana nlimkutia na kashika dawa(Vidonge) vingiiiii anataka kunywa. Ugomvi huu ulitokea baada ya kumwambia arudi kwanza nyumban wazazi wake wanamtafuta baadae mimi nitamfuata.
Baada ya kumpa kilakitu alichotaka hatimaye yule binti aliondoka kurud kwa wazazi wake. Baada ya tukio hili nikaanza kupunguza mawasiliano hatimaye tukakata mawasiliano
Binti alikuja kunitafuta badae kua nimtumie ela anataka kujifungua(Mimba ile iliyotungwa nje ya Mfuko wa Uzazi) na apo ilikua imetimia Miezi 11 kamili tangu nmekutana nae kingono aliponambia amenasa Ujauzito.
Nikaunganisha Matukio
i) Kajifungua baada ya miezi 11 na sio 9
ii) Mimba ilitungwa nje ya Mfuko wa Uzazi, je iliingiaje tena ndani?
iii) nikakumbuka ile purukushani ya kutaka kujiua nyumbani kwangu
Aaaaaaah nikampotezea adi leo hatujatafutana tena
NINACHITAKA KUSEMA NI KUA
Mwanaume usipokua na Msimamo kuhusu masuala ya Mimba Wanawake/wasichana watakusumbua na kukuyumbisha sana mwisho wa Siku unajikuta umelea Mimba ya Mwanaume mwenzio
wewe mwenyewe umeonyesha jinsi gani ulivyo kenge
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo mwache uzinzi lo!

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ndio yenye mamlaka pekee ya kupima,kuthibitisha na kutoa majibu ya DNA kulingana na sheria ya partenity identification. Gharama kwa sample moja ni laki 2, sample zinatoka kwa watu wawili mpaka watatu. Kulingana na chain of custody ni ngumu sana majibu kupikwa kama watu tunavyodhan ustawi wa jamii ni kitu muhimu sana kwa taifa....kitakwimu 75% ya waliowahi kupima walikutwa sio baba wa watoto.
Si ndio maana mnatoa majibu ya uongo kutokana na maslahi ya mtoto hata kama sio wako utaambiwa ni wako
 
Kenya hawana ubabaishaji Kama huku,Nyoa mtoto chukua nywele ya mtoto Kama sample nenda Kenya uhakiki Kama ni wako, utakavyo amua kumwambia mama mtoto au ukae nae moyoni.Mimi nilikiwa na mashaka nilivuka border nikajua ukweli. Lkn inahitaji moyo wakati wa kupokea majibu Kam ulihusika kwenye malezi moja kwa moja.
walicharge bei gani aseeee
 
Habari zenu ndugu?

Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.

Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.

Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.

Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.

2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?

3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.

4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwanini akasema "basi tu"

Then two weeks ago ananambia ana ujauzito wangu, nashindwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwani vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kuwa hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.

So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
Shukuru hata umechaguliwa kusingiziwa "Mzigo".
 
Back
Top Bottom