Alafu ikawaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo alivurugwa kweliiiKuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.
Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.
Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii
Sent using mt4 app
mshukuru mungu kakupa uelewa mapema vinginevyo mbeleni utajutaaHabari zenu ndugu?
Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.
Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.
Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.
2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?
3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.
4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwann akasema "basi tu"
Then two weeks ago ananambia anaujauzito wangu, nashndwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwan vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kua hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.
So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
Hili kweli kabisa, coz hata huyu katika mahusiano yetu kuna kipindi tulikua hatuna maelewano ya karibu (mwez March na April) and tulikua mikoa tofauti, but tukaja solve tofauti zetu. Lakin bdae nkagundua kua mwenzangu alikua tayar ana mahusiano ya karibu na mtu mwingne, nkajaribu kuongea nae kuhusu hilo swala akanijibuWasichana wengi wapo hivi anaweza kua na mahusiano na wanaume wengi kwa wakat mmoja akija kubeba mimba anakua Hana uhakika mimba ni ya nani Kati ya hao wapenzi wake hii nimeiona Sana so anatafuta mtu mwenye uelekeo kidogo anambambikia kwahiyo kupma DNA ni muhimu coz anaonekana hana uhakika mimba ni ya nani
Aiseee, huyu alikua haogopi kudanganya?? Maana huu ni uongo wazi wazi.Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.
Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.
Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii
Sent using mt4 app
Ahsante kwa ushauri ndugu,Subr mtoto azaliwe umuone afu ukapme DNA.ingawa kunasiri kubwa kwenye DNA apa bongo labda Kama mngekuwa watu Zaid ya1 mnagombania mtoto...lakn unaweza fanya vpmo kwasiri baada yakupata kbar chamahaka.unaenda kimyakmya hospital binafsi afu unampanga doctor ili askudanganye majbu.Chapl usiogope kumwambia uyo manzi ukwel ili ajue unamashaka naajiandae mtoto atakapo zaliwa mkapme DNA naukubaliane nae ksheria akiwa sio wako akulpe ghalama zako
Process za kukubaliwa kupima DNA ndio utata unapoanzania hapo, sio kwamba unaenda hospitali unaomba kupimwa halafu unapimwaKwann mkuu? Naomba nieleweshe zaid utata uko wapi katika upimaji wake? Maana sielew chochote.
Pamoja na mashaka yote hayo na vimaswali vya ajabu ajabu, ila bado ukawa unapiga kavu?Habari zenu ndugu?
Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.
Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.
Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.
2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?
3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.
4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwann akasema "basi tu"
Then two weeks ago ananambia anaujauzito wangu, nashndwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwan vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kua hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.
So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
Kuna muda inabdi kufanya maamuz magum il kuwasaidia wapendwa wetu kuishi salama kwakesho yao.Ikiwa unahuakika iyo mimba sio yako asilimia90.mfate muhusika na umwambie ukweli kwamba unamashaka namimba ile...kpmo chaharaka kwamuda huu nkupma miez mliokutana nae kmwl na muda wamimba iyo.Mungu anajua dhamira yako Kama sio mwanafunz unaweza kuamua kua katil tu ili kesho usjute.tulia mtoto azaliwe Kama niwako ata kwamacho utatambua tu naapo ndio utaanza kuudumia.sasaiv we mchane ukwel nakafaye nae vpmo vya hawali tu....Kama msaada mpe Kama unampa dem wako tu au binadamu mwenzio il asjione mpweke Zaid .usitoe kla ktu Kama unaudumia mkeo paka upate ukweli....ukishndwa yote aya mkatae tu atakulaani lakn Mungu ndio anajua dhamira yako ....atakapo zaa nawe ukajldhsha wakwako muombe msamaha maisha yasongeAhsante kwa ushauri ndugu,
swala la DNA pia linaonekana linamlolongo sana na pia majibu yake sio ya uhakika sana kwa Hapa TZ hili pia linanipa changamoto mno. Vp nkakomaa saiv, af hayo mambo ya DNA yaje kunirudisha tena kwenye hali ya mkanganyiko kama sasa??
Kenya hawana ubabaishaji Kama huku,Nyoa mtoto chukua nywele ya mtoto Kama sample nenda Kenya uhakiki Kama ni wako, utakavyo amua kumwambia mama mtoto au ukae nae moyoni.Mimi nilikiwa na mashaka nilivuka border nikajua ukweli. Lkn inahitaji moyo wakati wa kupokea majibu Kam ulihusika kwenye malezi moja kwa moja.kupima DNA sio rahisi kiasi hiyo.
Ahsantee sana mkuu, umenitia moyo sana ndugu.. Maana nlikua njia panda nisijue cha kufanya kwa sasa.Ku
Kuna muda inabdi kufanya maamuz magum il kuwasaidia wapendwa wetu kuishi salama kwakesho yao.Ikiwa unahuakika iyo mimba sio yako asilimia90.mfate muhusika na umwambie ukweli kwamba unamashaka namimba ile...kpmo chaharaka kwamuda huu nkupma miez mliokutana nae kmwl na muda wamimba iyo.Mungu anajua dhamira yako Kama sio mwanafunz unaweza kuamua kua katil tu ili kesho usjute.tulia mtoto azaliwe Kama niwako ata kwamacho utatambua tu naapo ndio utaanza kuudumia.sasaiv we mchane ukwel nakafaye nae vpmo vya hawali tu....Kama msaada mpe Kama unampa dem wako tu au binadamu mwenzio il asjione mpweke Zaid .usitoe kla ktu Kama unaudumia mkeo paka upate ukweli....ukishndwa yote aya mkatae tu atakulaani lakn Mungu ndio anajua dhamira yako ....atakapo zaa nawe ukajldhsha wakwako muombe msamaha maisha yasonge
Njia nzima alikuwa ana lala mika nika mwambia tupate supu na chapat kwenye restaurant akasema hapana mimba ina sumbua ikiwa imeingia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ikawaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo alivurugwa kweliii