MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Huyooo muongoo kwa asili 100% mwambiee tu sawa kama ni yangu tutajua akizaliwaa.Hili kweli kabisa, coz hata huyu katika mahusiano yetu kuna kipindi tulikua hatuna maelewano ya karibu (mwez March na April) and tulikua mikoa tofauti, but tukaja solve tofauti zetu. Lakin bdae nkagundua kua mwenzangu alikua tayar ana mahusiano ya karibu na mtu mwingne, nkajaribu kuongea nae kuhusu hilo swala akanijibu
"Huyo jamaa sio permanent atamfuta taratibu kwenye maisha yake, coz he was there for her kwa kipind chote tulichokua tumegombana"
Jibu hili liliniumiza but nlikaza moyo coz Nlimpenda Sana and nkajipa moyo kua kwenye mahusino always kuna "Ups and downs"
Sasa sjakaa sawa naletewa hili la ujauzito tena. How can i trust her on This??
Kisha muulizee kuhusu jamaa vipi hausiki kwelii..
Sent using mt4 app