Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Hili kweli kabisa, coz hata huyu katika mahusiano yetu kuna kipindi tulikua hatuna maelewano ya karibu (mwez March na April) and tulikua mikoa tofauti, but tukaja solve tofauti zetu. Lakin bdae nkagundua kua mwenzangu alikua tayar ana mahusiano ya karibu na mtu mwingne, nkajaribu kuongea nae kuhusu hilo swala akanijibu

"Huyo jamaa sio permanent atamfuta taratibu kwenye maisha yake, coz he was there for her kwa kipind chote tulichokua tumegombana"

Jibu hili liliniumiza but nlikaza moyo coz Nlimpenda Sana and nkajipa moyo kua kwenye mahusino always kuna "Ups and downs"

Sasa sjakaa sawa naletewa hili la ujauzito tena. How can i trust her on This??
Huyooo muongoo kwa asili 100% mwambiee tu sawa kama ni yangu tutajua akizaliwaa.

Kisha muulizee kuhusu jamaa vipi hausiki kwelii..

Sent using mt4 app
 
Hapana ni maneno ya watu tu.
Basi nenda kituo binafsi.
hata ukienda POLISI DAWATI LA JINSIA ni 100,000/ au bure km Kesi ni nzito
lkn majibu ndio hivyo tena km alivyosema jamaa hapo juu Itel A51
Mimi yalinikuta, nyumba ndogo, kumbe mm nalisha na chumba nalipia usiku anakuja mlinzi Korokoroni kulala anaacha lindo anaisimamia kwa vidole mali yangu
mtoto kutoka hatufanani kabisa jirani wakanitonya ni wa mlinzi pale kituo cha mafuta
tukafikishana POLISI wakanilazimishia kuwa nikikataa na licha ya kutoa laki nitashtakiwa
niliporudi siku ya pili Mlinzi akajatishia na kukubali ni damu yake hataki na hakuna cha DNA akasaini
kw hiyo mm nikachukua maelezo nakala yangu nikayahifadhi
sasa mwanamke bado ananitaka nilee, nikamuonesha maelezo ya POLISI akadai huyo Baba hana uwezo atamuua mtoto au amnyweshe sumu, NIKAACHANA NAO ingawa mwanamke hajakubali
 
Duuh...pole aseeh.

Ila serikalini kuna michezo mingi saana.

Kikubwa unaenda private kisha unafungua kesi.
 
Aisee... Polee sana Ndugu, Mshukuru Mungu yameshapita japo najua mwanzo haikua rahisi.
 
Duuh...pole aseeh.

Ila serikalini kuna michezo mingi saana.

Kikubwa unaenda private kisha unafungua kesi.
Yaan unatangulia kwanza kwenda kupima DNA ndo unaenda polisi?
 
Duuh...pole aseeh.
Ila serikalini kuna michezo mingi saana.
Kikubwa unaenda private kisha unafungua kesi.
asante Mkuu. ila nina uhakika 100% mtoto si wangu, mm nilikuwa najipigia km kupunguza stress za wife wakati mwingine na mpira
kumbe kuna mwenzangu anakuja kupewa usiku kucha na pesa au supu asubuhi
sasa ngoma ni kulea , wanashindwa na huyo mwizi ananijua, kosa wanalofanya ni kunikabidhi na malezi ili waondoe njaa na malazi
haya madawati ya JINSIA kule POLISI ni ya kuangalia sana yanalazimisha au kusanifu mm waliniambia unaibiwa na wafungabuti kwa sababu hujui gwaride ndio mwanamke katoka nje chukua tu kitanda hakizai haramu ili wamtetee mwenzao nibebeshwe mm
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app
[emoji23] hata 72 hours za fertilization hazijapita.
 
hata ukienda POLISI DAWATI LA JINSIA ni 100,000/ au bure km Kesi ni nzito
lkn majibu ndio hivyo tena km alivyosema jamaa hapo juu Itel A51
Mimi yalinikuta, nyumba ndogo, kumbe mm nalisha na chumba nalipia usiku anakuja mlinzi Korokoroni kulala anaacha lindo anaisimamia kwa vidole mali yangu
mtoto kutoka hatufanani kabisa jirani wakanitonya ni wa mlinzi pale kituo cha mafuta
tukafikishana POLISI wakanilazimishia kuwa nikikataa na licha ya kutoa laki nitashtakiwa
niliporudi siku ya pili Mlinzi akajatishia na kukubali ni damu yake hataki na hakuna cha DNA akasaini
kw hiyo mm nikachukua maelezo nakala yangu nikayahifadhi
sasa mwanamke bado ananitaka nilee, nikamuonesha maelezo ya POLISI akadai huyo Baba hana uwezo atamuua mtoto au amnyweshe sumu, NIKAACHANA NAO ingawa mwanamke hajakubali
Alivyokuwa anapanua mapaja hakujua kuwa hana uwezo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app
Huyo hata aibu hakuwa nayo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ahsantee kwa ushauri mkuu.. Hv gharama za kupima DNA zikoje kama unafahamu??
Huduma hzi za DNA hutolewa tu na maabara za serikali zilizoko kila Mkoa na watu huenda mpaka kuapushwa mahakamani ikiwa atakubaliana na majibu ya maabara
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app
Duh hawa mademu wa kibongo ni nyoko sana, sasa mkuu ulikubali iyo mimba au

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
According to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?

Wiki 7 Duh

Yani ya1 ikapita 🏃🏃🏃

Ya 2 ikkapita 🏃🏃🏃

Ya 3 ikapita 🏃🏃🏃

Ya 4 ikapita 🏃🏃🏃

Ya 5 ikapita 🏃🏃🏃

Ya 6 ikapita 🏃🏃🏃

Ya 7 ndio akakuambia

Hapo inaonekana since 2nd wiki alikua anabet kwa washikaji mbali mbali mikeka inachanika. Wiki hii kaweka bet kwako, ukikubali tu, umeliwa.
 
Wiki 7 Duh

Yani ya1 ikapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 2 ikkapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 3 ikapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 4 ikapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 5 ikapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 6 ikapita [emoji125][emoji125][emoji125]

Ya 7 ndio akakuambia

Hapo inaonekana since 2nd wiki alikua anabet kwa washikaji mbali mbali mikeka inachanika. Wiki hii kaweka bet kwako, ukikubali tu, umeliwa.
Af cha ajabu anatishia kujiua.. Et nisipokubali atawaambia wazaz wake pamoja na wazaz na ndugu zangu kwann anajiua, then anajitoa uhai.
 
Back
Top Bottom