Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Kenya hawana ubabaishaji Kama huku,Nyoa mtoto chukua nywele ya mtoto Kama sample nenda Kenya uhakiki Kama ni wako, utakavyo amua kumwambia mama mtoto au ukae nae moyoni.Mimi nilikiwa na mashaka nilivuka border nikajua ukweli. Lkn inahitaji moyo wakati wa kupokea majibu Kam ulihusika kwenye malezi moja kwa moja.
Wewe una cha kuongezea kidogo hapa mkuu. Vp kuhusu gharama zake kwa wenzetu Kenya?
 
Unaweza nitajia vituo binafsi vinavyotoa hiyo huduma kiongozi, nina kesi mbili natakiwa nizitatue kabla mwaka haujaisha.
Je, Na vituo binafsi nako kuna utaratibu mpaka uende mahakamani?
Wakuu..siwezi andika jukwaani au kwa mtu tu wanapopima maana hairuhusiwi.

Tanzania Mkemia wa serikali ndiye mwenye mamlaka ya kupima DNA na ni shauri la mahakama au dawati la jinsia.

Wanaopima ni njia za panya... wewe nenda hospitali ya private mvute Dc. Mmoja atakuambia pa kupita.
 
asante Mkuu. ila nina uhakika 100% mtoto si wangu, mm nilikuwa najipigia km kupunguza stress za wife wakati mwingine na mpira
kumbe kuna mwenzangu anakuja kupewa usiku kucha na pesa au supu asubuhi
sasa ngoma ni kulea , wanashindwa na huyo mwizi ananijua, kosa wanalofanya ni kunikabidhi na malezi ili waondoe njaa na malazi
haya madawati ya JINSIA kule POLISI ni ya kuangalia sana yanalazimisha au kusanifu mm waliniambia unaibiwa na wafungabuti kwa sababu hujui gwaride ndio mwanamke katoka nje chukua tu kitanda hakizai haramu ili wamtetee mwenzao nibebeshwe mm
Tanzania hakuna system...hakuna mfumo kabisa.

Binafsi nilishakutwa na hili tatizo bahati nzuri nilipokuwa naishi DNA unapima popote tu.

Wanawake huwa wanafanya maamuzi madogo mabaya saana ambayo huathiri maisha yao yote.
 
Habari zenu ndugu?

Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.

Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.

Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.

Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.

2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?

3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.

4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwann akasema "basi tu"

Then two weeks ago ananambia anaujauzito wangu, nashndwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwan vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kua hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.

So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
Kupima DNA ni laki moja
 
Af cha ajabu anatishia kujiua.. Et nisipokubali atawaambia wazaz wake pamoja na wazaz na ndugu zangu kwann anajiua, then anajitoa uhai.
Mkubalie ajiue tu mdau utue zigo ilo litakupa stress bure..........natamani hiki kisanga chako kingenikuta mie maana kuna mmoja nilimnyoosha haswa mpaka akaja tu kukiri dogo si wangu hapo dogo ana miezi sita toka azaliwe
 
Nililea si unajua kitanda hakizai haramu mchizi 😎
 
Mkubalie ajiue tu mdau utue zigo ilo litakupa stress bure..........natamani hiki kisanga chako kingenikuta mie maana kuna mmoja nilimnyoosha haswa mpaka akaja tu kukiri dogo si wangu hapo dogo ana miezi sita toka azaliwe

Hongera kwa kulivuka jambo hili, maana saivi linaninyima raha kabisa.. Sina Aman na maisha yangu tena!
 
Mi binafsi niko tofauti na unavyowaza. Swali namba 1 nadhan alikuwa ana ujauzito wako kweli ila bado alikuwa anafanya utafiti kujua iwapo atazaa na wewe ukamuacha ataweza kupata mwanaume atakaekubali kulea mtoto asie wake!

Hivyo alikutumia kama sample kujua wanaume mnalichukuliaje suala hilo. Lakini pia inaoneka hueleweki kama upo nae kwa muda au chapa ilale ndio maana hata ulipojua ana mimba bado aligoma kukuambia ukweli/kupima ili ajue kama AKWAMBIE au AITOE ila akapata shauri la bora aibebe tu liwalo na liwe. Na kama ungekuwa na muelekeo unaoeleweka kwake angekwambia wazi tangu alipohisi dalili za ujauzito.

Binafsi hicho ndicho nilichokugundua kutoka kwenye mada yako. Na ukweli mabinti wengi wakipata mimba kwa mtu ambae haonyeshi hata dalili za kuishi wote/kumuoa huwa wanawaza "NI MWANAUME GANI ATAMPENDA IKIWA KAZALISHWA NA KUTELEKEZWA?"

Usimuhukumu mapema wakati ulikuwa unamwagia ndani.

Jitafakari zaidi wewe.
 
Back
Top Bottom