Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

DNA si rahisi hivyo popote pale
 
Huyo mwambie ukweli una wasiwasi na huo ujauzito so hutatoa matumizi yoyote kuhudumia huo ujauzito hadi mtoto azaliwe mpime DNA na utakua tayari kuhudumia kama ni damu yako...
Mi yashanikutaga mara mbili na njia niliyotumia ndio hiyo, mmoja ana 3 years haina haja ya DNA ni copy and paste... Lkn nimempotezea maana alimtupia jamaa mwingine ndio analea lakini haishi kunitumia sms kua huyo mtoto ni wangu na picha ananitumia kila mara
Wa 2 ni wa kike bado ana 2 years hatujapima bado ila simwelewielewi lakini yeye hakumpa mwingine anadai hawezi fanya ujinga huo atamlea mwenyewe, na sijatoa matumizi bado hadi tupime ila kwao wana uwezo sana na ana kazi nzuri so nmemwacha apambane na hali yake kwanza, yeye alikiri wazi alidate na mfanyakazi wake walienda wapi sijui wakalewa ndio wakafanya yao na mimi nikapatia sababu.
 
Maandishi mabovu ...
 
Uandishi wa kiwaki sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamani hili swala la kupewa usichostahili lipo sana mm mwenyewe hapo limenifika ipo hvi

Nina binti mmoja hv ni mwanachuo tulikuwa kwenye mahusiano mazuri sana lakini kuna muda alibadilika nikajua kumbe ana jamaa mwingne ndani ya chuo

Mm nikiwa nikipiga simu anakuwa kama haeleweki sometime anatoa.matusi yote niliyajua kwa rafk ake sas kwa ufupi mm alikuwa akijiskia kuleta mzgo analeta napiga natulia saa hapa.juzi kabla hawajafunga vyuo kuna muda hakuwa anaonekna alikuwa kwa huyo jamaa na mm nikaona isiwe tabu nikavusha rafiki ake wa karibu nikala mzgo(dawa ya moto ni moto)[emoji23][emoji23]

Nakumbuka siku anataka ondoka kwenda kwao alikuja gheto akakaa siku kama mbili after hapo akasepa kwenda kwao kafka ananiambia anahisi na mimba sas mimi jumlisha yale ya nyuma nimemuuliza baba wa mtoto unamjua lkn

Ndo shida imeanzia hapo ananililia mm na mm nimemwambia kama ni mimba yeye atafute baba wa mtoto mapema maana kabla tusex huwa ni lazima tuhesabu siku nakumbuka pia mwenyewe alikiri siku ziko sawa maana yake yupo safe sas hapo ndo kuna mshike mshike
 
Balaaa hilo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Patamu hapo.
Sijui wanatuonaga sisi wendawazimu au hatuna akili tokea nizaliwe siwalewagi hawa watu.
 
Oi malizia bhasi, ilikuaje?
 
Kuna tetesi nliskia et kua ukienda pima DNA lazma tu matokeo yatakuja kua "ww ndio baba" lengo lao likiwa ni kupunguza watoto yatima sjui haki za mama na mtoto blah blah.. Kuna ukweli hapa?
Stori za vijiweni hizoo...
 
According to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?
Nenda zile pharmacy kubwa kubwa wanauza vile vipimo vya mimba, uje mpime mkiwa wote home ni njia rahisi...
 
Hivi ni nywele au swab ya mate mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…