HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
DNA sio rahisi
Subiri mtoto azaliwe ukapme DNA simple
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mtoto azaliwe ukapme DNA simple
Kenya hawana ubabaishaji Kama huku,Nyoa mtoto chukua nywele ya mtoto Kama sample nenda Kenya uhakiki Kama ni wako, utakavyo amua kumwambia mama mtoto au ukae nae moyoni.Mimi nilikiwa na mashaka nilivuka border nikajua ukweli. Lkn inahitaji moyo wakati wa kupokea majibu Kam ulihusika kwenye malezi moja kwa moja.
Acha kusikiliza stori za vijiwe nenda muhimbili ukapime DNA
Maandishi mabovu ...Inaendelea,
Alikuja mdogo wangu kunitembelea ilikuwa kama saa mbili usiku hivi nikakaa naw kwwnye gogo nikamuelezea jinsi mambo yalivyo, kwakuwa alikuwa anatujua tunavyoiahi pale akaniambia "hivi si mlisemaga kuwa yule jamaa anakamwndeaga kale katoto?" Nikamwambia ndio ila hatuna uhakakika, akaniambia "hivi bro ushafikiria itakuwaje kama ukatoa hela ya kwenda kufanya vipimo vya mimba na huyo mtoto akaonekana anayo? Unajua hiyo mimba itakuwa ni ya kwako na hutakuwa na pa kukwepea kwa kuwa wewe ndo mhusika na ndio maana ulitoa pesa ya kumpima mbimba?" Nikaanza kuona kama vile nimeshampima mtoto na amwonwkana ana mimba niaanza kuona baba atavyokuwa amechachamaa na mapanga shahidi ni babu na yeye marian kwa uoga atakuwa akisema yale maneno ya kuwa hii mimba ni ya M. tu Duh nikazidi kuchanganyikiwa mara yule bibi akaniita "M vipi mbona mpaka sasa hujaleta ile hela?" Nikamwambia muda si mrefu nakupa akaendelea na mambo yako huko ndani Dogo akaniambia unajua kesi hii unailea ila itakufunga na kukupoteza kabisa we lete tu masihara,
Basi wazo likanijia kuwa ni siku tatu tu huyu mtoto ashajulikana na mimba na maneno anayonishindilia huyu mtoto ni kama yakupika tena kwa mtaalamu hasa isingewezekana akaswma eti kama nina mimba itakuwa ya huyu maana sijawahi kulala na mtu zaidi yangu tena hakuwa na wasiwasi kama anaokuwaga tukiwa wawili,
Nikaona ni muda wa kumkataa shetani na mambo yake ni huu, dogo nae akaondoka na nikamuita yule mama pembeni kidogo nikaona nifunguke ili kwanza kwakuwa mama ana busara ataweza nisaidia maana sikuwa na amani hata chembe moyoni
Mama hebu niambie wewe ni mtu mzima unaweza kujua mimba ikiwa na muda gani?
Hata ya week moja!
Mbona sasa mariamu nilitoka nae jumamosi nale jumatano naambiwa habari za mimba?
Mi sijui kwakweli
Mama mi nilienda nae kweli sehemu akanilazimisha nibae kondom na kugusa tu kitumbua chake akasema anaumia sikupata fulsa hata ya ingia kwake hivyo kupelekea hata kukojoa sikukojoa iweje naletewa mambo ya mimba
Mi sijui nomepewa maelekezo tu kama ulivyosikia kwenye kikao cha asubuhi,
Mama we unajua utakuwa unajua huu mpango maana huyu mtoto ni kama kuna kitu ameambiwa asema
Akacheka kidogo mi sijui lolote bwana
Mama mimi nikitoa hela ya kwenda kumpima akaoneka ana mimba kwa mazingira niliyokuelekeza si myanipelwka polisi? Halafu mama yangu we unajua tu aliyempa mimba huyu mtoto ila kuna mpago wa kunipa mm hii kesi kwann lakini mama wewe unajua na huyu mtoto ni hatari ujue anaweza kuja kukusingizia kitu hata wewe mama ni wakuangalia huyu mtoto
Sasa mm nitasemaje kwenye hili?
Akili ikanituma kwa hapa nabebeshwa zigo nikamwambia mama mimi sitoi hela ili ikanifunge mwambie huyo mtoto amwambie aliempa mimba atoe hela ya kupima na kumtoa hiyo mimba
Mama akajibu kikawaida sana "sawa" na akarudi ndani
Mara paap yule dada alieniunganishia mpango akarudi akanikuta nimejiinamia kwenye lile gogo kumuelezea situation iliyopo akalipuka! We wansinitanie mm kama wamemtia mimba naenda kumwambia mjomba yoote wasikusingizie na kama wanataka mi nitaenda police nikatoe taarifa kuwa kuna watu wanataka kutoa mimba ili tuje tuone mtoto atakayezaliwa atafanana na nani Hapo linaongea kwa sauti kubwa yule mama akamfuta kwa hasira we mtoto ukome na manene yako utaka familia isamabalatike siyo ukome mwana kukoma nisikusie tena hizo habari ukimwambia mjomba wako hata wewe mqenyewe utakaa hapa shangazio atakaa wapwao watakaa hapa uishie hapohapo!
Kwakuwa mama alikiwa ni mtu mwwnye busara lile limdada likanyamaza na kumwambia kuwa ila wasimsingizie mtoto wa watu sasa,
Niachie mm hizo habaei nitazimaliza mama aakjibu
Made balozi. Mganga na ahekh alikwa anaaikia sitaki kumuona huyu mwanamke kwwnye nyumba yangu na wewe utaona ananiambia mm sasa
Nikajua bado sijakwepa mtego maana mzee alikuwa anafahamika sana kwa uganga
Haikupita week mbili mazee nikakamatwa na nikatupwa keko kwa ishu ya utafutaji wa maisha mengine tu nikaa week tatu mpaka nilivyokuja kupata dhamana nikarudi pale home nikafanya mpango nikahama sikutaka kuja yule mtoto ilikuja kuwaje na issue ya mimba mpaka leo
Watu hatari sana walijipanga nadhani mungu aliniokoa tu na si ujanja wangu hapo
To kea happy sijawahi lazimiaha mapenzi labda kula tunda kimasihara
Nakumbuka wakati nasubiria hatma yangu itakuwaje sikuwa na njaa week nzima washikaji zangu wananilazimisha kula chakula hakipandi nilinunuliwa juice ya kupima kwenye glass na bisicut Huwezi amini niliona kama nimepewa juice kwenye pipa nikaimwaga nimeahiba na vile vibiscut vinavyouzwa 500 nilikula nikashiba nikazificha mfukoni japo kuwa jana yake uaiku sikuwa nimekula
Namalizia kuwa mi sio mwandishi mzuri mjitahidi kutafuta content za story mengine myapotezee tu
A True story!!!!
Sijawahi isahau hii maisha yangu aise
Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Inaendelea,

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.
Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.
Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii
Sent using mt4 app
Balaaa hilo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani hili swala la kupewa usichostahili lipo sana mm mwenyewe hapo limenifika ipo hvi
Nina binti mmoja hv ni mwanachuo tulikuwa kwenye mahusiano mazuri sana lakini kuna muda alibadilika nikajua kumbe ana jamaa mwingne ndani ya chuo
Mm nikiwa nikipiga simu anakuwa kama haeleweki sometime anatoa.matusi yote niliyajua kwa rafk ake sas kwa ufupi mm alikuwa akijiskia kuleta mzgo analeta napiga natulia saa hapa.juzi kabla hawajafunga vyuo kuna muda hakuwa anaonekna alikuwa kwa huyo jamaa na mm nikaona isiwe tabu nikavusha rafiki ake wa karibu nikala mzgo(dawa ya moto ni moto)[emoji23][emoji23]
Nakumbuka siku anataka ondoka kwenda kwao alikuja gheto akakaa siku kama mbili after hapo akasepa kwenda kwao kafka ananiambia anahisi na mimba sas mimi jumlisha yale ya nyuma nimemuuliza baba wa mtoto unamjua lkn
Ndo shida imeanzia hapo ananililia mm na mm nimemwambia kama ni mimba yeye atafute baba wa mtoto mapema maana kabla tusex huwa ni lazima tuhesabu siku nakumbuka pia mwenyewe alikiri siku ziko sawa maana yake yupo safe sas hapo ndo kuna mshike mshike
Yan mm hili swala.dogo sanaBalaaa hilo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Patamu hapo.Jamani hili swala la kupewa usichostahili lipo sana mm mwenyewe hapo limenifika ipo hvi
Nina binti mmoja hv ni mwanachuo tulikuwa kwenye mahusiano mazuri sana lakini kuna muda alibadilika nikajua kumbe ana jamaa mwingne ndani ya chuo
Mm nikiwa nikipiga simu anakuwa kama haeleweki sometime anatoa.matusi yote niliyajua kwa rafk ake sas kwa ufupi mm alikuwa akijiskia kuleta mzgo analeta napiga natulia saa hapa.juzi kabla hawajafunga vyuo kuna muda hakuwa anaonekna alikuwa kwa huyo jamaa na mm nikaona isiwe tabu nikavusha rafiki ake wa karibu nikala mzgo(dawa ya moto ni moto)[emoji23][emoji23]
Nakumbuka siku anataka ondoka kwenda kwao alikuja gheto akakaa siku kama mbili after hapo akasepa kwenda kwao kafka ananiambia anahisi na mimba sas mimi jumlisha yale ya nyuma nimemuuliza baba wa mtoto unamjua lkn
Ndo shida imeanzia hapo ananililia mm na mm nimemwambia kama ni mimba yeye atafute baba wa mtoto mapema maana kabla tusex huwa ni lazima tuhesabu siku nakumbuka pia mwenyewe alikiri siku ziko sawa maana yake yupo safe sas hapo ndo kuna mshike mshike
Oi malizia bhasi, ilikuaje?Mi nilipata huo mziki siji kuusahau,iko hivi nakaa geto mwenye nyumba ni shekhe , mganga na ni balozi pia ana mjomba ake anamkubali mbaya huyu mjomba wake alikuwa mahikaji ila anafamilia na mtoto mmoja baba wa binti ni mpangaji mwenue asili ya ya tanga anapenda habaei za uganga hatari pia ni mtata alikuqa ahchelewi kuwafukuza qanae qa kiume kqa panga mpaka kuna wakati mama au mkewe alikuwa ananipa chakula kiana ili niwape watoto aliogombana nae na hataki wale chakula cha home
Chezo liko hivi,
Binti nimezoeana sana kiasi cha familia zote kutokuwa na mashaka hata akiingia geto ambalo tulikuwa tunaka wana kadhaa siunajua tena Ujana na maisha ya kuungaunga! Sasa kale kabinti ni kazuri hatari na kana rangi fulani hivi amazing kakiingia geto mzee mi ni kukafinya maziwa yaliyosimama. Vizuri kwenye kifua chake huku nikabembeleza niwe mchuchu wake, kaniambia sawa ila niache qatatuona watu, mzee nabaki nahamu na utamu wa kukanyonya maziwa, kakitumwa duka kataweka iahara kuwa kamwtumwa na hasa ile mida ya moja au mbli Fulani ya night basi mi nakaungia njiani nafaidi kumshika mchuchu kumshika balaa tunarudi maisha ya kusubilia kupewa tunda siku moja hiyo imeenda mda sana
Kumbe mjomba wa mwwnye nyumba apiga mzigo aise na kwakuqa walikuwa haka katoto kabila moja na mkewe mjomba wa mwenye nyumba kalikuwa huru sana kuingia kwa yule jomba akitoka tu mkwe jamaa kama yupo anakaita kumbe anapiga mambo sa kwa akili ya kukapenda kale katoto akili ilikuwa inaingia na kutoka kuwa yule jomba mbona kama hawezi kapiga mambo haka kamrembo,
Alikuja binamu yake haka kabinti huyu alikuwa mkubwa akanizoea sana tunakaa tunapia sana story nikampanga kuwa nimemuelewa binamu yako, akaniambia we unatakaje? Nikamwambia hebufanya mpanda siku moja tutoke tukatembee na mrembo sehemu yeyote! Akaniambia lini? Nikamwambia hata kesho! Akaniambia poa jipange! Nikajipanga jtatu binamu akaniambia naenda na mtoto kkoo unataka nikawache nae wapi? Akili ikaruka nikwaza chap nikaona eneo la mbali sana ni buguruni japo sikuwa napajua sana, tukatoka mtu tatu kwa kupishana kuondoka nyumba kuwapoteza maboya wanafamilia, mpaka buguruni kwenye ile baa ya Malaya na mashoga wengi karibia na mataa jina lake limenitoka,binam alikuwa anaenda jwa bwana ake na yeye wakaongea mawili matatu pembeni then akatuaga nikazama kwenye wallet yangu nikamtoa 5000 yule binamu yake akaniasa ikifika saa saba nimrudishe mpaka sehemu fulan ili akaungane na binamu yake ili waende nyumbani pamoja pasje tokea msala kumbuka baba wa mtoto ni kaksi balaa.
Nikaagiza chips kuku nusu mi wakati huo mi sina hata hamu ya chips akili yote iko kwa mtoto mweupe ninavyoenda kumfaidi,
Nikaingia ndani nikauliza chumba nikaambiwa bei nikarudi namkuta mtoto anakula chips kwa pozi ila pia hana amani akaniuliza umetokea wapi nikamzuga, nikarudi kwa mhudumu nikamsomesha akanihamishie mrembo wangu amlete room akikubali basi nimlipe, mi wakati huo nimeingia room nasubiri kama atakubali kuja? Mara paap mtoto na sahani yake yachips na soda yake analetwa na mhudumu, nikajiona Gaucho kwa kuweza kupiga goli kali kwa shot la akili nyingi ku win, nikatoka na kumfuata mhudumu nikamalizana na kurudi room, nijaona kama mtoto kahamaki Fulani na chips nimakama hazipandi tena nikaendelea kumpanga kuwa nakupenda sana ndo maana nataka tufurahi na yeye leo, nikaanza uchokozi kiana namuona mrembo amepoteza confidence na hana amani, akaniambia "M naomba tu usiniumize mwenzio" na mimi nikamtoa wasiwasi kuwa nampenda sana asiniwazie vibaya, nikafanikiwa kumvua kitop kwa mbinde nikakutana na kifua kitamu hatari maana nilishazoe kumshikashika huku macho yakiwa yanaangalia nani anaweza ibuka kule tunapokuwage kichocholoni mitaa ya home ila leo ni mimi na yeye tu kwa hii room, nikaendelea kumsikashika ile nataka kumuvua chupi akaniambia condom ziko wapi? Nikamwambia usiwaze, hakutaka maekezo yeyeto zaidi ya juzioba condom alikazia hatari mpaka sikuamini kama anaweza kuwa akili ile aise kwa umri wake nikatoja nikamfuta mhudumu nukanunua na kurud room, nikafanikiwa kumvua chupi kwa mbinde sana huki nishapewa masharti mpaka aone nimevaa condom nijawa najiuliza huyu bint amepata wapi uelewa haya mambo? Basi bani nijafanya kadri ya nilivyopewa masharti ile nataka kumpelekea mashine anaanza kulia eti M inatosha tutafanta tena siku nyingine basi ikawa mbinde kutenganisha miguu iki mkwaju upite kumbaka aligoma kabisa niuguse mzigi kwa mikono hivyo nikikuwa natembelea guzani sihui kama huyu mtoto amewahi kutumika au ni bikra japo nilikuwa na nashaka na yule mjimba kuwa kama anakukulaga haka katoto, kukulu kakala ikaishia kwa mm kugusa tu uchi wa mrembo huy wa kisambaa lakini sikuzama ndichi mwishi nijaona nikikazimisha sana yanaweza tokea ya kuumizana ukawa msala, pili kajipa noyo nikiforce kingi leo ataniona mrafi sana siku nyingine atanikomakia niona niache leo ila nikija siku ya pili lazima nizame ndichi, nikakapa hug na denda kiana kumuonyesha i m happy kumbe moyo unawaka tamaa ya mambo yetu, nikazama kwenye walet nikampa elfu tatu na buku nyingine kama nauli kumbuka ni mwaka 2001 hapo, nikamsindikaza standi akaingia kwa daladala zake kinondoni mi nikazamazangu kkoo mpaka saa mbili nijarudi kwa kunyata home nione kama kuna msala wowote, nafika nyumbani nikaona kama nyumba imepoa isivyo kawaida nikakaa kuna kigogo Fulani nyuma ya pale home nausikilizia mchezo mara namuona binamu aliniunganishia mchongo nikamkonyeza akaja akaanza kunilaumu kuwa nilichelewa sana kumbe yeye alipoenda kwa bwana ake akamkosa akageuka chap na kukaa pale walipokubakuana wakutane ndipo warudi wote nyumbani ila ikaonekana hamna shida kivileee!
Nikazama magetoni nikazima mpaka kesho yake,
Siku ya hilo tukii ilikuwa jmosi nijawanaiwazia siku nitakayopiga mashine mtoto, jtatu yaje kakaja kichocholoni kakaniambua "M naomba unipeleke hospital tumbo linaniuma" mi hospital gani? "Yoyote unayopenda wewe" ntwende buguruni? Akajibu "sawa!" mi kwa kutokujua nasetiwa chezo nikajikuta akili inaniambia eti mtoto ashaanza kuniekewa anataka akanipe mambo labda ameona alichonifanyia sio poa. Jumanne akanikumbushia tena kupelekwa hispital, kumbuja baba yaje akikuwa na bima za watoto wake wote walikuwa wanatibiwa hospital za kishua na hasa huyu binti wake pendwa sikuwaza chochote nikawa najua mtoto anataka akanipe mambo tu, mi nikamwambia ajiandae alhamis tutaenda akasema poa,
Jmatano asubuhi kama saa tatu nikamuona mzee mwenye nyumba ambae ni mganga na ni balozi wa nyumba kumikumi piani mjimba wa yule jamaa ninaehisigi anakakula kale katoto amekasilika baada ya kumsalimia hakupokea japo najya amenisikia kabisa maana akikuwa amesimama ananiangalia kwa hasira ila nijapotezea tu, baadae kidogo mkewa balozi akaniita sebuleni ni mama niliyemheshimu sana na ni mwenye busara sana nikaingia nikamkuta balizi amekaa chini kwenye mkeka wake kama kawaida yake anasuka ukili nikalimia hakupokea sikuwa na wasiwasi wowote, mara baby akamfokea mkewe "mwambie sasa" yule mama akaniambia kuwa "hapa kuna binti ana mimba na vaada ya kumbana amekutaja wewe" yaani kwa ujinga akili yangu hakuwa inamuwaza huyumtoto wa hapa home kwa kuwa mi hata kichwa chachini sikufanikiwa kuingiza na pia nilivaa condom siku ya jmosi na hata makinikia sikufanikiwa kufIkisha huko bandarini, nijamuuluza mama confidence ni binti gani huyo yule baby anakivyojuwa ameniangalua muda huo yuko kimya anasikilizamazungumzo yetu huku jicho kali lilokuwa limeanza kuniumiza sasa maana nilikuwa kama ninanichoma niltamani hataawe ameangalia pembeni linipunguzie maumivu aise, mama akamtaja huhuhuyu mtoto mzuri niliezani ataenda kunipa utamu kesho alihamis, nikakata nikamwambia mama "sio kweli" babu akadakuia "muite Mariam" Mariamu akatwa kutoja chumbani kwa baba na mama yake akaja pale akambiwa na babu "haya sema" Mariam akasema "mimi kama nitakuwa na mimba itakuwa yahuyu maana sijawahi kulala na mtu yeyote zaidi yake" hapa sasa akili ndo ikanirudi kwa kasi ya magari ya mwendo kasi iweje afike na kuanza kueleza mambo makubwa kiasi hiki nikahisi kuna mpango mbaya hapa huku akijuwa ni jmosi ndolitoka nae na anajua hatukufija hata hapo chini ya kile kilele cha ule mlima wapendacho kufika wengi, nikakataa nikasema "sio kweli we nariam mbona unaobgea vitu amvavyo havipo?" Mariam akasema "mimi sijawahi kulala na mwanaume yeyote mpaka wewe uliponipeleka pale guest ya buguruni siku ile" akili ikaanza kunionyesha narogwa na huyu babu wakishirikiana na na Baba wa mtoto nijaona polisi wanavyonijamata na kunifunga huku sina wakunisaidia maana bongo sina hata mtu uhakika wa kunipa hata 500, nikakataa yule babu mganga akasema "unabisha" huku amenikazia macho ya kibalozi kishekh na kiugangauganga huku mama akiniangalia kwa kunihurumia mama akamwambia babu hapa akapimwe mimba mariamu kwanza kama anayo tujue unajua mama yake mariam yuko ndani analia na wewe unamjua baba yake nariamu alivyo na alishagasema mtoto wake akileta mambi ya kijinga atamkta mtu panga na ata deal na mkewe jwa kumuacha mariam afanye uninga huu mliofanya mama yake mariam anataka kutoroka hapa"
Duh! Ha pa ndi nikaona ukubwa wa tatizi lililoko mbele yangu nasambalatisha familua za watu waliozijenga miaka mwisho nikaambiwa nitoe 3000 ili kesho akapime mimba kwanza,nijaahidi nitatoa jioni jioni nikapishana mama yake mariam nikamsalimia sikuona hata kama ana dalili yoyote ya kitu kibaya na hata babatake Mariam nilimuona ila kwa hofu sikutaka tupate ukaribu,
Kama zali jioni saa moja najiandaa kutoa 3000 ya kwenda kumpima Mariamu mimba huku nikijipa moyo Mariamu kuwa lazima hana mimba kwa kuwa hakuna kilichototea kupelekea yeye kupata mimba,
Itaendelea!!!!!!!!!
120,000 per person... So wewe na mtoto piga mara 2 hapo...Ahsantee kwa ushauri mkuu.. Hv gharama za kupima DNA zikoje kama unafahamu??
Stori za vijiweni hizoo...Kuna tetesi nliskia et kua ukienda pima DNA lazma tu matokeo yatakuja kua "ww ndio baba" lengo lao likiwa ni kupunguza watoto yatima sjui haki za mama na mtoto blah blah.. Kuna ukweli hapa?
Nenda zile pharmacy kubwa kubwa wanauza vile vipimo vya mimba, uje mpime mkiwa wote home ni njia rahisi...According to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?
La muhimu mlivyorudiana ilikuwa kupima afya kwanza kabla kupiga mechi za mchangani...Ndio, and now I wish nisingekua nmefanya hvo.
Hivi ni nywele au swab ya mate mkuu??Kenya hawana ubabaishaji Kama huku,Nyoa mtoto chukua nywele ya mtoto Kama sample nenda Kenya uhakiki Kama ni wako, utakavyo amua kumwambia mama mtoto au ukae nae moyoni.Mimi nilikiwa na mashaka nilivuka border nikajua ukweli. Lkn inahitaji moyo wakati wa kupokea majibu Kam ulihusika kwenye malezi moja kwa moja.