Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Ungeenda ofisi za ustawi wa jamii, naona wana uwezo mzuri wa ku handle hizo issues. Tatizo mwanamke akishajua aliyempa mimba hana uwezo aisee atakuganda kama luba...
 
Kuna tetesi nliskia et kua ukienda pima DNA lazma tu matokeo yatakuja kua "ww ndio baba" lengo lao likiwa ni kupunguza watoto yatima sjui haki za mama na mtoto blah blah.. Kuna ukweli hapa?
Io ni kwel tena hasahasa hz hospital za serikali ukitaka vipimo vya DNA real nenda nje ya nch au hospital kubwa kubwa km aghakhan nk hawa wapo very serious
 
Kuna wanaume mbapitia matedo makal uyo ulipaswa uzabe kibao hapo hapo ni dharau kakuona we mjinga hujui kitu
 
Angalia kama hii mbinu yangu ita-apply kwako.
Mimi nina 43 yrs, kwenye ndoa yangu nina watoto watatu, wa mwisho ana 9 yrs na kwa sababu maalum ya kiafya, wife alifunga kabisa uzazi alipozaliwa huyo mtoto wa mwisho! Nilichepuka na binti ambaye anafahamu kila kitu nyumbani kwangu maana ni jirani na tunatokea mkoa moja kabila moja! Aliponiambia ana mimba yangu nikaruka juu sana hapo hapo sikuchelewesha. Nilimwambia sihusiki, mimi nilishafunga uzazi (kwa wanaume inaitwa Vasectomy - sijui kama spelling iko sawa). Nikamwambia mimi kwa miaka 9 sasa sina uwezo wa kutia mimba, nakula tu mzigo basiii, na ushahidi ni huyo mtoto wa mwisho ana miaka 9. Nikamgeuzia kibao kwamba kumbe wewe ni muhuni na ulitaka kuniharibia ndoa?? Nikambana aseme ukweli. Baada ya siku mbili alikiri mhusika ni kijana mwenzake wa chuo na ni mvuta bangi tu hana mbele wala nyuma, kwa hiyo akaniomba hela ya kuitoa, nikamwambia hiyo dhambi sitashiriki. Baadaye inaonekana aliitoa, sasa hivi ameshika sana adabu, yuko focused na masomo hataki tena ujinga. Mi nampa mpa tu hela za chips na kinywaji mara moja moja yuko tu very happy anapiga kitabu.
 
Akili zao hawa viumbe wanazijua wenyewe.

 
Njia pekee ya kujua kama mtoto wako DNA...hawa wanawake atakukazia uso mkavu hata umtishie atakuambia mtoto wako. Kama unauwezo muda ukiwadia kapime.

Kwasasa kuwa mpole.
He km ujauzito ni wa mdogo wako DNA itasomaje
 
Baba hiyo njia yako matata...na ulijitoa mwanga.
 
Mi alinifanyiaga huo mchezo nilimtimua sitakagi ujinga
 
Usisahau kuleta mrejesho mkuu... Siku zimeshasogea[emoji23][emoji23]
 
Hawa wanawake ni wajanja na wana akili sana. Me kuna mmoja hapa nasikilizia nimeambiwa ana mimba ya mwezi mmoja na kweli nilipita nae kavu japo anaishi na mshikaji wake mpk leo. So sijui kama ni yangu au lah.
Hapo mshkaji alibebeshwa.Vipi mrejesho?
 
DNA pekee mpeleke kwa mama yako atajua Kama Ni wako au sio
 
Ishu imeishaje mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…