Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Ubinafsi WA kupumbav, halafu majitu ya hivyo huwa yanalalamika mpaka basi yakikaziwa kumbe ni karma za mambo ya kipuuz waliofanyia wengine
 
Acheni shobo na watoto wa kike kwa kisingizio cha urafiki. Ukome!
 
Jamani wengine mnajishuku sana, nilipo nunua ndege yangu ya kwanza, Marafiki walinikimbia wooote!! tena wanasema wazi wazi kandege hako, siku kakianguka jamaa chali jumla basi wakanikwepa hao!

wee muache tu siku akikwama atarudi kwa magoti!! basi nkakomaa ivoivo! nikaongeza nyingine lkn kubwa kidogo, hii nikaanza kuikodisha km kazi...ikanitoa si kawaida hao wamekimbia mazimaaaaa!!
 
Natamani nipate muda nikuandikie material hapa...

Hope ntarud
 
Ngoja nikae kimya
 
Huyo ni ndugu yako kabisa
 
Hii ngoma naona kwangu ni vice versa, mimi napigwa vita na wale niliokuwa nawachukulia ni wana kumbe ni sumu kwangu, hawako na furaha kabisa na archivement zangu.

Imagine mtu ambaye unamtowa kwa sana leo ndio unaambiwa ni sumu kwako inaumiza sana, kuna mishe zingine hatuwezi kutoka pair, mimi nakuwa connected na wana wangu wa kitambo sana tumeishi maisha mabovu kwenye machaka mbalimbali duniani hapa, huwa hatuachani dying in vain.

Maisha ndivyo yalivyo ishi vile ilivyo, umezaliwa na big heart endelea kutendea mema mengine muachie Mungu ndiye mjuzi wa yote.
 
Kuna best angu mmoja miaka 10 iliyopita nilimsaidia mambo mengi ya kimaisha na kikazi maana alikua bado mlugaluga,
Kipindi flani manzi wangu alinialika kwenda kupata chakula cha Xmas nikamchukua best tukaenda kupata msosi basi nikamtambulisha mshkaji kua huyo ndio ni demu wangu,
picha lilianza nlipopata safari ya kwenda nje ya Nchi kwa miezi kadhaa yule best nlimuachia ghetto langu mitaa Zakhiem nikasepa wakati demu wangu anaishi Airport Ukonga tuliwasiliana vizuri kipindi chote wakati nipo abroad nliporudi demu wangu akanijuza kua yule mlugaluga analienda mpaka kwao Ukonga kumtongoza lkn alimtolea nje.
Hilo jambo lilinikera sana nikaona nitafute njia sahihi ya kumfikishia ujumbe huyu boya nisubiri apate mrembo nimkwibe ni msugue mashavu nimjulishe. Basi tukaendelea kuishi fresh na mwana hakujua kama na mlia timing kuna siku akanitambulisha demu wake mmoja pisi kali. Nikaona ule muda umefika nikaanza kumpeleleza yule pisi mpaka nikapajua kwao.
Nikamtimbia shemela night kwao nikamchomoa akanigee no..kesho yake akaja gheto kavaa blauz kanga moja na chupi tu alivyoingia gheto story mbili tatu za kumsoma nikamvutia chumbani nlimsugua sana kisimi mpaka akaanza kumponda mchizi wake.
Baada ya muda best angu akanipigia simu aje gheto nikamwambia nipo na shemeji yake asubiri ntamstua kumbe ni mchumba ake yupo kitandani kalaza nundu.
Baada ya siku tatu nikamchana kuhusu usntch wake na nilivyo mtafuna demu wake mpaka leo urafiki umekufa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wake Ngugi wa thion'go malizia hili picha, nimeipenda sana[emoji120]
 
Kuna watu watakuja kusema Leo umezidisha mdalasini
 
Kwako na wengine walio katika situation kama yako. Waswahili walisema ''kua uyaone''. Mimi nina experince ya maisha hivyo hili unaoelezea kwangu siyo jambo geni. Nikuambie kitu kimoja: asilimia 95 ya watu unaoita ni marafiki wako siyo marafiki wa kweli na watafanya kama unavyolalamika hapa. Trust me. Ni hivi: wanasaikolojia wanasema mtu anapokuwa na shida fulani, akakutana na mwingine mwenye shida kama yake au kuzidi, hujisikia nafuu japo shida yake iko pale pale. Haya ni maumbile na mkiwa na shida zinazofanana mtajitahidi sana kuwa pamoja. Lakini mara mmoja wenu anapofanikiwa kuondoa ile shida, haoni tena umuhimu wa kuwa karibu kwa sababu ''humliwazi'' tena, sana sana unamkera tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…