Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Mkuu kuna bwana ni rafiki yangu toka primary akapata Kazi taasisi flani Maisha safi kwa maana ya nyumba na gari ila aliwahi Nipa 15,000 elfu tu kipindi chote cha urafiki

Nikapigana kujitolea kwenye ile taasisi wakakubali, nimekaa pale jamaa hana msaada kwangu nikachaguliwa kwenda kusimamia tawi lingine

Jamaa akatolewa kazini, msaada ukawa ni mimi (mwaka mzima namsaidia) akapata Kazi daah nikakwama sehemu jamaa nikaomba anikopeshe laki 2 nikija mjini nalipa Hadi leo jamaa hapokei simu yangu kisa laki 2 na nafahamu anayo Iyo hela ila ajataka Nipa.

Kifupi jamaa ni mtu wa kujijali yeye tu ila akipata shida anapenda omba msaada na ukimkazia maneno ni mengi mnooo
Ubinafsi WA kupumbav, halafu majitu ya hivyo huwa yanalalamika mpaka basi yakikaziwa kumbe ni karma za mambo ya kipuuz waliofanyia wengine
 
namkumbuka mmoja wa kike
ambae tulikuwa kila saa tunapigiana simu,mesage na kupeana kazi,ushauri,kjtiana moyo na hata kupambana pamoja, but since she got channel unaweza mtext now ukajibiwa kesho kutwa alafu blue tick ilee unaiona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni shobo na watoto wa kike kwa kisingizio cha urafiki. Ukome!
 
Jamani wengine mnajishuku sana, nilipo nunua ndege yangu ya kwanza, Marafiki walinikimbia wooote!! tena wanasema wazi wazi kandege hako, siku kakianguka jamaa chali jumla basi wakanikwepa hao!

wee muache tu siku akikwama atarudi kwa magoti!! basi nkakomaa ivoivo! nikaongeza nyingine lkn kubwa kidogo, hii nikaanza kuikodisha km kazi...ikanitoa si kawaida hao wamekimbia mazimaaaaa!!
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu🙏, dondosha pia kisa chako
Natamani nipate muda nikuandikie material hapa...

Hope ntarud
 
Matokeo ya darasa la saba yametoka,jina langu linaonyesha natakiwa niingie mbeya sec(mbeya day) ....nachelewa kidogo maandaliz ya kwenda shule kama mjuavyo maisha ya singlemom,mama hakuwa vyema kiuchumi ila ndo ilitakiwa nisome....sikuchelewa sana nilikata kama mwez Ivo nikaanza class mwez February katikati.....baada ya mambo yote kukamilika mapokez mwalimu anaenda nionesha darasa napokelewa,darasa limefull kiti Cha kukaa hakuna...natoa macho nao wananishangaa....nikasikia sauti ya binti mbele kidogo ya darasa ikiniita "njoo ukae hapa" [emoji15]kiti kimoja nakaaje(kimoyomoyo)....kainuka kaniachia kiti nikae then kaondoka,katoka darasani(Kumbe anaenda tafuta dawati lake)[emoji26][emoji26](sometimes I miss you cute Jay).....kiufupi tulikaa pamoja yeye Karibu yangu mpaka form four(was my real truly best friend).......nakumbuka uliacha comb ya science uliyochagua kisa Kuogopa kutengana nami maana I told you nakupenda nimeumia kutengana nawe darasa....ulistop science ukaja art.....ulipenda kupika nilipenda kuchora.....nilikuwa mkali but mshauri kwako,ulikuwa mlokole but mshauri kwangu.....nilikuwa na mwonekano wa maisha duni lakini niliishi home maisha ya kawaida.....ulikuwa na mwonekano mzuri wa kimavaz lakini uso usio na furaha(alikuwa yatima,alipoegeshwa alikuwa ananyanyaswa sana)....nilipofahamu uhalisia wako nilikutambulisha Kwa mama Ivo mama nilikuwa nikimwambia ulichopungukiwa alikuwa mwepesi kukusaidia hata Kwa kukuahidi.(nakumbuka Kaz Yako mojawapo ya kulisha kuku Asubuhi na jioni home kwenu ulikuwa huachi kunifichia mayai ukipata nafasi)[emoji26][emoji26] I miss you darling.....daaa ....ni kisa kirefu sana nitaandika nitatachoka then nitafia hapahapa[emoji24][emoji24][emoji1751]
Ngoja nikae kimya
 
Aisee mimi ni vice versa,miaka karibu nane toka nikutane na mshikaji alikua kamaliza chuo maisha yanamchapa mimi wala sikumfanyia wema wowote wa maana sana ila tulitokea kua washkaji sana maisha yangu ni kuunga tu mwana alikuja kula mashavu sehemu ya maana hajawahi kuniletea dharau au kunikataa hata siku moja huwa ananisaidia mnoo kipesa na kimawazo,kuna siku kaja kwenye goli langu kuna dada mmoja huwa ni mteja wangu japo ana dharau wakakutana kumbe jamaa ni boss wa dada na dada alimnyenyekea kinoma ila alishangaa ninavoongea nae kisela tena hadi kumtukana sometimes japo kiutani.
HUWA ROHO INANIUMA SANA NI LINI NITAKUJA KULIPA FADHILA ZA MSHIKAJI TENA YEYE ANAFANYA YOTE HAYO KUKIWA HAKUNA VIASHIRIA VYOVYOTE VYA MIMI KUJA KUMZIDI KIMAISHA.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huyo ni ndugu yako kabisa
 
Hii ngoma naona kwangu ni vice versa, mimi napigwa vita na wale niliokuwa nawachukulia ni wana kumbe ni sumu kwangu, hawako na furaha kabisa na archivement zangu.

Imagine mtu ambaye unamtowa kwa sana leo ndio unaambiwa ni sumu kwako inaumiza sana, kuna mishe zingine hatuwezi kutoka pair, mimi nakuwa connected na wana wangu wa kitambo sana tumeishi maisha mabovu kwenye machaka mbalimbali duniani hapa, huwa hatuachani dying in vain.

Maisha ndivyo yalivyo ishi vile ilivyo, umezaliwa na big heart endelea kutendea mema mengine muachie Mungu ndiye mjuzi wa yote.
 
Kuna best angu mmoja miaka 10 iliyopita nilimsaidia mambo mengi ya kimaisha na kikazi maana alikua bado mlugaluga,
Kipindi flani manzi wangu alinialika kwenda kupata chakula cha Xmas nikamchukua best tukaenda kupata msosi basi nikamtambulisha mshkaji kua huyo ndio ni demu wangu,
picha lilianza nlipopata safari ya kwenda nje ya Nchi kwa miezi kadhaa yule best nlimuachia ghetto langu mitaa Zakhiem nikasepa wakati demu wangu anaishi Airport Ukonga tuliwasiliana vizuri kipindi chote wakati nipo abroad nliporudi demu wangu akanijuza kua yule mlugaluga analienda mpaka kwao Ukonga kumtongoza lkn alimtolea nje.
Hilo jambo lilinikera sana nikaona nitafute njia sahihi ya kumfikishia ujumbe huyu boya nisubiri apate mrembo nimkwibe ni msugue mashavu nimjulishe. Basi tukaendelea kuishi fresh na mwana hakujua kama na mlia timing kuna siku akanitambulisha demu wake mmoja pisi kali. Nikaona ule muda umefika nikaanza kumpeleleza yule pisi mpaka nikapajua kwao.
Nikamtimbia shemela night kwao nikamchomoa akanigee no..kesho yake akaja gheto kavaa blauz kanga moja na chupi tu alivyoingia gheto story mbili tatu za kumsoma nikamvutia chumbani nlimsugua sana kisimi mpaka akaanza kumponda mchizi wake.
Baada ya muda best angu akanipigia simu aje gheto nikamwambia nipo na shemeji yake asubiri ntamstua kumbe ni mchumba ake yupo kitandani kalaza nundu.
Baada ya siku tatu nikamchana kuhusu usntch wake na nilivyo mtafuna demu wake mpaka leo urafiki umekufa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ya darasa la saba yametoka,jina langu linaonyesha natakiwa niingie mbeya sec(mbeya day) ....nachelewa kidogo maandaliz ya kwenda shule kama mjuavyo maisha ya singlemom,mama hakuwa vyema kiuchumi ila ndo ilitakiwa nisome....sikuchelewa sana nilikata kama mwez Ivo nikaanza class mwez February katikati.....baada ya mambo yote kukamilika mapokez mwalimu anaenda nionesha darasa napokelewa,darasa limefull kiti Cha kukaa hakuna...natoa macho nao wananishangaa....nikasikia sauti ya binti mbele kidogo ya darasa ikiniita "njoo ukae hapa" [emoji15]kiti kimoja nakaaje(kimoyomoyo)....kainuka kaniachia kiti nikae then kaondoka,katoka darasani(Kumbe anaenda tafuta dawati lake)[emoji26][emoji26](sometimes I miss you cute Jay).....kiufupi tulikaa pamoja yeye Karibu yangu mpaka form four(was my real truly best friend).......nakumbuka uliacha comb ya science uliyochagua kisa Kuogopa kutengana nami maana I told you nakupenda nimeumia kutengana nawe darasa....ulistop science ukaja art.....ulipenda kupika nilipenda kuchora.....nilikuwa mkali but mshauri kwako,ulikuwa mlokole but mshauri kwangu.....nilikuwa na mwonekano wa maisha duni lakini niliishi home maisha ya kawaida.....ulikuwa na mwonekano mzuri wa kimavaz lakini uso usio na furaha(alikuwa yatima,alipoegeshwa alikuwa ananyanyaswa sana)....nilipofahamu uhalisia wako nilikutambulisha Kwa mama Ivo mama nilikuwa nikimwambia ulichopungukiwa alikuwa mwepesi kukusaidia hata Kwa kukuahidi.(nakumbuka Kaz Yako mojawapo ya kulisha kuku Asubuhi na jioni home kwenu ulikuwa huachi kunifichia mayai ukipata nafasi)[emoji26][emoji26] I miss you darling.....daaa ....ni kisa kirefu sana nitaandika nitatachoka then nitafia hapahapa[emoji24][emoji24][emoji1751]
Mdogo wake Ngugi wa thion'go malizia hili picha, nimeipenda sana[emoji120]
 
Kuna best angu mmoja miaka 10 iliyopita nilimsaidia mambo mengi ya kimaisha na kikazi maana alikua bado mlugaluga,
Kipindi flani manzi wangu alinialika kwenda kupata chakula cha Xmas nikamchukua best tukaenda kupata msosi basi nikamtambulisha mshkaji kua huyo ndio ni demu wangu,
picha lilianza nlipopata safari ya kwenda nje ya Nchi kwa miezi kadhaa yule best nlimuachia ghetto langu mitaa Zakhiem nikasepa wakati demu wangu anaishi Airport Ukonga tuliwasiliana vizuri kipindi chote wakati nipo abroad nliporudi demu wangu akanijuza kua yule mlugaluga analienda mpaka kwao Ukonga kumtongoza lkn alimtolea nje.
Hilo jambo lilinikera sana nikaona nitafute njia sahihi ya kumfikishia ujumbe huyu boya nisubiri apate mrembo nimkwibe ni msugue mashavu nimjulishe. Basi tukaendelea kuishi fresh na mwana hakujua kama na mlia timing kuna siku akanitambulisha demu wake mmoja pisi kali. Nikaona ule muda umefika nikaanza kumpeleleza yule pisi mpaka nikapajua kwao.
Nikamtimbia shemela night kwao nikamchomoa akanigee no..kesho yake akaja gheto kavaa blauz kanga moja na chupi tu alivyoingia gheto story mbili tatu za kumsoma nikamvutia chumbani nlimsugua sana kisimi mpaka akaanza kumponda mchizi wake.
Baada ya muda best angu akanipigia simu aje gheto nikamwambia nipo na shemeji yake asubiri ntamstua kumbe ni mchumba ake yupo kitandani kalaza nundu.
Baada ya siku tatu nikamchana kuhusu usntch wake na nilivyo mtafuna demu wake mpaka leo urafiki umekufa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu watakuja kusema Leo umezidisha mdalasini
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu🙏, dondosha pia kisa chako
Kwako na wengine walio katika situation kama yako. Waswahili walisema ''kua uyaone''. Mimi nina experince ya maisha hivyo hili unaoelezea kwangu siyo jambo geni. Nikuambie kitu kimoja: asilimia 95 ya watu unaoita ni marafiki wako siyo marafiki wa kweli na watafanya kama unavyolalamika hapa. Trust me. Ni hivi: wanasaikolojia wanasema mtu anapokuwa na shida fulani, akakutana na mwingine mwenye shida kama yake au kuzidi, hujisikia nafuu japo shida yake iko pale pale. Haya ni maumbile na mkiwa na shida zinazofanana mtajitahidi sana kuwa pamoja. Lakini mara mmoja wenu anapofanikiwa kuondoa ile shida, haoni tena umuhimu wa kuwa karibu kwa sababu ''humliwazi'' tena, sana sana unamkera tu.
 
Back
Top Bottom