Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Rafiki kukutenga baada ya kufanikiwa ni tabia ya kawaida kwa watu wenye roho mbaya.

Ila ipo hii ya ndugu yako wa damu kukutenga hii ni mbaya sana
 
Sawa TAUSIsi
 
Hizo video za jay za minyanduano bado unazo mkuu [emoji39]?
 
Hii inatokea sana mzee mana nyingi wakishakua wako sehemu wanabadilisha marafiki wanataka wale wa level moja, ila wakikwama wanakumbuka walipotoka. Kikubwa pambania kesho yako mzee
 
Hii ni moja ya sababu kubwa ya mm kumkubali rapper wa marekani Meekmill

Mshikaji ametokea street/getto life yale maisha magumu haswaa ila kwa sasa pesa ipo na wala hajabadilisha marafiki,

Ana kula bata na washkaji zake wa utotoni ambao wame-hussle wote, kuna verse moja anakuambia “i only move with niggas i grew up from the sandbox”
 
Tenda wema uende zako, atakayekulipa Mungu...
Ni kweli, kwenye maisha yangu huwa nasaidia watu bila kujali watanisaidia au watalipa fadhila. Nikimsaidia mtu sifanyi kama uwekezaji, ukiamua kulipa fadhila sawa, ukiamua kuniponda sawa. Wala siumii roho maana najua fadhila zangu zitalipwa na watu wangine. Ukifanikiwa nafurahi maana nimekua daraja zuri la kukufikisha uendako
 
Pole sana mkuu,lkn hiyo ni kawaida.
 
Introvert hatupo hivyo mkuu, mi binafsi naweza sema sina rafiki ila naenjoy life kama kawaida sa hv natoka job na Laptop yangu nanunua bando kwa ajili ya kucheki movie netflix najifungia Ghetto sina habari na mtu mwenye shida atanitafuta ila mimi kulalamikia mtu hiyo haipo demu wangu mwenyewe ananikubali kinyama yaani ila anajua kabisa akizingua nami nazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…