Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Frida.....my best friend.
Sikuwahi kujua kama kuna siku itapita bila kusalimiana na wewe,niliumia nilililia urafiki wetu lakini nilishakubali urafiki ulikufa 😭😭

Kuna watu tunakutana nao kwenye maisha Kwa nyakati maalum, kusudi na sababu maalum, Hilo kusudi na wakati vikishakamilika awamu Yao inaisha wanakuja wengine.

Kutokana na changamoto za maisha sikatai urafiki unaweza kufifia lakini sio Ile mtu unaona kabisa kama Hana haja nawewe kabisa, hiyo inaumiza.

Neno langu la kunifariji ni Moja tu, "Binadam yeyote yule, anaweza kufanya jambo lolote, wakati wowote bila kujali chochote" inapotokea mtu niliyemchukulia kama Rafiki akakengeuka, nasema ni kawaida tu, majira, kusudi na wakati umefika.

Usijisahaulishe jambo letu, au ndio umenipiga indiketa?
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu[emoji120], dondosha pia kisa chako
Hayo ndio matatizo ya kua na marafiki wachache, yaani unamfanya mtu mmoja kua tegemeo lako. Siku akigeuza mgongo unakua kama umefikwa na msiba.

Jifunze kutengeneza marafiki ndugu, jitahidi uongee na kila mtu. Na hio ni rahisi sana, jifunze kua mtu wa masihara usichukulie serious kila jambo kwenye maisha haya. Utashangaa hata huo ugonjwa wa kizungu (introvet sijui) unao ona fahari kujiita utaisha bila kujua.

Namna nyingine kua mtu involving, jitahidi nyumbani mtaani uwe na marafiki, kazini tengeza marafiki. Na rafiki wa rafikiako mfanye awe rafikiako pia, huwezi jua ni yupi atakufaa siku moja.

Na ukitaka mtu awe rafikiako, tengeneza mazingira ya yy kukuhitaji, onyesha value uliyonayo kama haipo itafute kama sasaivi huyo jamaako haoni anachokihitaji kwako ndio maana ameenda kukitafuta sehemu nyingine.

That should be a wake up call kwako, na ww upambane zaidi urejeshe thamani yako. Siku moja atarudi tena au utakutana na watu wengine zaidi.
 
Janeth nae!

Pole sana, au ulitupia vocal na yeye hakupendezewa?
Hapana, hata kama angejitokeza hapa aje aseme mwenyewe, sikuwahi kumtongoza, nilimheshimu kama dada angu, alikuwa akinishauri mambo mengi ya maendeleo na nilipigahatua kiasi chake,
nadhani hata account yake aliitelekeza na kufungua nyingine humu jf,
Nahisi alipata mme akaamua kukata urafiki wetu kwa lengo la kulinda ndoa yake
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu[emoji120], dondosha pia kisa chako
Kuna mwanangu mmoja Mungu ambariki Sana yule mwamba, tumesota Sana wote lkn yeye akawahi kutoka kimaisha, jamaa alikuwa ananipa daily 20,000 ya kupunguza ukali wa maisha na sio Kama nilikuwa namuomba hapana ni vile tu anajua maisha yangu, choka mbaya. Kuhusu salio la simu alikuwa ananipa simu yake ananiambia punguza vocha babu unayotaka. Badae na Mimi nikapata maisha kuliko yeye, bado ni mwanangu Sana wengine wanajua sisi ni ndugu
 
Kisa na mkasa?
Yani hili swali hata jibu lake sina kwakweli, sijui hata nilimkosea nini sijui asee....
Alikua ni mtu ambae nnamuita best friend hajawahi kuwepo kama yeye.
Tumesoma tangu drs 1 tunakàa wote dawati moja hadi f6, tukawa na familia hadi husbands wakawa marafiki nna mazuri mengi ya kumuelezea..... kwakweli niliumia mno yani siku za mwanzo nlikua nikifiria hadi machozi yanajaa machoni nshakubali.
 
Kupata washikaji ukiwa na pesa ni rahisi...
Ukipata na hauna kitu jua umefanikiwa kichizi mi sikufichi...
Yes ila Sio pesa nyingi wala, Ukiwa mwepesi tu wa kugawana ulicho nacho hata kama kidogo, unapata marafiki wa kutosha.
 
Pole Sana. Ngoja nikukumbushe kua sio kila uliyekutana nae katika maisha utakua nae hadi mwisho it doesn't matter mmekutana utotoni mnatambaa na mmefanya mangapi pamoja na mishibana vipi. Na watu watakuacha and won't care about you kama huna cha ku offer kwao au kama haupo katika levels zao tena.

Jifunze kutokujipa umuhimu kwenye maisha ya watu and never expect anything from anyone.
Hii ndio principle yangu na sijawahi kuwa disappointed.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabla hajafanikiwa alikuwa hayaoni haya? Ulimbukeni unakusumbua

Ukimpunguza anatoka uhai?

Hatoki uhai ila inamuuma ndo maana mnalialia urafiki wa kiboya hapa. Hata wewe ukiona inauma chomoa.

We're in a different space now. New levels, new devils.

Legendary FidQ alisema "urafiki si urafiki hadi uchanganywe na kazi."

Kama haendani na mambo nayoyataka mimi now nakupunguza tu. Feel free kunipunguza as well kama unaona siendani na malengo yako. Mambo ya urafiki wa kiboya wa kuongelea pisi, mpira na bata siku nzima siyahitaji.

Again, new levels, new devils.
 
Motivational speaker umeshaanza Mambo tayari,duh.
 
Kuna mwanangu mmoja Mungu ambariki Sana yule mwamba, tumesota Sana wote lkn yeye akawahi kutoka kimaisha, jamaa alikuwa ananipa daily 20,000 ya kupunguza ukali wa maisha na sio Kama nilikuwa namuomba hapana ni vile tu anajua maisha yangu, choka mbaya. Kuhusu salio la simu alikuwa ananipa simu yake ananiambia punguza vocha babu unayotaka. Badae na Mimi nikapata maisha kuliko yeye, bado ni mwanangu Sana wengine wanajua sisi ni ndugu
Duuh ni Mungu tu aliamua uishi nae huyo!

Ila marafiki wengi mizinguo kishenzi[emoji848]
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu[emoji120], dondosha pia kisa chako
Mafanikio yana mengi sana ila ninachojua watu wengi ambao wamebadilika baada ya kupata kias kikubwa kunakuw na mambo ya gizanii kayafanya kias kwamba hatamani kukuona n pengine amekuhdhuru sasa roho inamsuta inakuwa heri awe mbali na wewe
 
Maneno kuntu haya.

Mimi kuna mmoja baada ya miaka miwili kupita tangu aliponikataa, tulikutana sehemu kibahati mbaya.

Akaanza kujishaua kwasababu ameona mabadiliko upande wangu, na akaomba udhamini kwenye miradi yake nimuongezee nguvu, ingawa hakuniambia moja kwa moja amejifanya kuniomba nimsaidie wadhamini kwasababu biashara zake zimeyumba.

Sikutaka kumkatisha tamaa, nilimuitikia kinafiki, lakini moyoni nikawa najiambia watu wepesi kusahau tena wanasahau haraka sana.

Huyu ni mmoja wapo, ila wapo wengi wa sampuli hii.

Nashukuru nimepata funzo kutoka kwao, kama utaamua kusaidia, saidia lakini usijitoe kivile ukitegemea kwamba fadhila italipwa, sahau
Katika maisha yangu sheria namba moja na kuu kwangu ni kumsaidia mtu bila kutaka ujira au kutegemea kurudishiwa fadhila.
 
Hatoki uhai ila inamuuma ndo maana mnalialia urafiki wa kiboya hapa. Hata wewe ukiona inauma chomoa.

We're in a different space now. New levels, new devils.

Legendary FidQ alisema "urafiki si urafiki hadi uchanganywe na kazi."

Kama haendani na mambo nayoyataka mimi now nakupunguza tu. Feel free kunipunguza as well kama unaona siendani na malengo yako. Mambo ya urafiki wa kiboya wa kuongelea pisi, mpira na bata siku nzima siyahitaji.

Again, new levels, new devils.
Itamuuma kwani upo moyoni mwake???

Iko hivi hapo ni kila mtu na tabia yake watu wanatoboa maisha hafu wapo humble ila kuna nyie wengine ni masikini akipata matako yanalia mbwata.

Maisha yakiwachapa mnakuwaga wabaridii mnarudi kwetu mikono nyuma mnatia huruma mbwa nyiee.....

Hafu ww chawa tu unaleta hoja kwa kuweka misemo ya Mabwege sijui Fid Q.
 
Kuwa humble ni tofauti na kuwa na marafiki viazi. Elewa hoja. Kama you can't even comprehend this basi wewe ni prime example ya marafiki wa kuwabwaga ASAP.

Maisha hayanichapi abadan. Kupanga ni kuchagua. Hamna bahati maishani yote ni mipango, nidhamu na hardwork.

New level. New devil.
 
Back
Top Bottom