Ulishawahi kutoka kimapenzi na rafiki wa mpenzi wako?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?

Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi kugombana bado wako mabest na mimi bado nawala tofauti kwa sasa kila mmoja yupo mkoa wake mmoja yuko Dar, mwingine Moro na wa mwisho yupo hapa Dom kwenye harakati zao za kutafuta maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah mi nlimpitia rafiki wa mpenz wangu badae akaja kujua aisee ilikuwa mbaya sana kwan waligombana vibaya na urafiki ukaishia hapohapo, aisee huwa najutia sana nilichofanya maana niliwakuta wakiwa marafiki wa muda mrefu mi ndo nkawafarakanisha, sitorudia tena
 
Kwan mr zero IQ upo dodoma weye??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndy KING OF THAT.... tena nishakula KITANDA KIMOJA ,,,na demu Wangu yupo hapo hapo KITANDANI na hakujuwa.. baada ya hapo wakawa wanapishana,,,DEMU WANGU akija ASUBUHI,,,USIKU anakuja SHOGA YAKE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeumbwa na uso wa aya hata yule naye mfaham ana mahusiano na fulani siwezi kuwa na mahusiano naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh marafiki sijawahi ila nimewahi ndugu dada mtu mdogo mtu na Shangazi yao wote hao nilikuwa nachota kwa mda tofauti tofauti nasukuma ndani hakuna hata mmoja aliyegundua mpka kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…