Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
How was it?Mara nyingi sana yaniππππππ
Et unaenda wapi usiku uhu π€¨π€£π€£π€£Mimi iliwah kunitokea nimelala mchana kwenye saa tisa kuja kuamka saa moja usiku kigiza kama kile cha alfajir. Kilichonizuzua zaid nilimkuta bi mkubwa anapika chai. Mi nikajua ndo kumekucha tena nikaenda nikaoga nikaingia chumbani.Tupia Uniform daa,natoka ndo naulizwa unaenda wapi? Usiku huu nikasema shule ..Nikaambiwa embu Acha wenge sa hivi ni saa moja usiku..Nilijiona boya sana..
Pole sana mkuuMimi iliwah kunitokea nimelala mchana kwenye saa tisa kuja kuamka saa moja usiku kigiza kama kile cha alfajir. Kilichonizuzua zaid nilimkuta bi mkubwa anapika chai. Mi nikajua ndo kumekucha tena nikaenda nikaoga nikaingia chumbani.Tupia Uniform daa,natoka ndo naulizwa unaenda wapi? Usiku huu nikasema shule ..Nikaambiwa embu Acha wenge sa hivi ni saa moja usiku..Nilijiona boya sana..
Kipindi hicho niko olevel Nakumbuka kuna siku nililala ilikua jionijioni hivi nikaja kuamka kama saa moja na nusu hivi.. nikaenda kuoga fasta na kuvaa uniform na viatu na kila kitu.. nikawa nmesimama mlangoni naulizwa vipi nasema namsubiri baba aamke anipe lift niende shule...walinicheka hadi nilijiskia vibaya sikuileHow was it?
Usitupange we mnyakyusa ina maana uliogea chumbani?He'll
Ushawai kulala mchana uka amka ukaona kama umechelewa kwenda shule au kazini?
Mimi ishawai nitokea nikiwa nimelala mchana nika amka nikaona mbona kama nimechelewa shule nikaamka chap nikakimbilia bafuni kuoga nikavaa sale za shule sasa nikiwa na vaa viatu kaka akaingia chumban akaniuliza unaenda wapi jioni nikamuuliza kwani saa ngapi akaniambia saa kumi na moja dah nilijitukana sana nikavua chap
Je wewe ishawai kutokea?
Halafu kile kigiza cha jioni jioni kinanikeraga sana yaniπππMimi iliwah kunitokea nimelala mchana kwenye saa tisa kuja kuamka saa moja usiku kigiza kama kile cha alfajir. Kilichonizuzua zaid nilimkuta bi mkubwa anapika chai. Mi nikajua ndo kumekucha tena nikaenda nikaoga nikaingia chumbani.Tupia Uniform daa,natoka ndo naulizwa unaenda wapi? Usiku huu nikasema shule ..Nikaambiwa embu Acha wenge sa hivi ni saa moja usiku..Nilijiona boya sana..
Choo kipo ndani ya nyumba mkuu π πUsitupange we mnyakyusa ina maana uliogea chumbani?
Mpaka leo kinakuchanganya?Halafu kile kigiza cha jioni jioni kinanikeraga sana yaniπππ
Ahahahha lift lakiniKipindi hicho niko olevel Nakumbuka kuna siku nililala ilikua jionijioni hivi nikaja kuamka kama saa moja na nusu hivi..nikaenda kuoga fasta na kuvaa uniform na viatu na kila kitu..nikawa nmesimama mlangoni naulizwa vipi nasema namsubiri baba aamke anipe lift niende shule...walinicheka hadi nilijiskia vibaya sikuile
Ahahahah kwetu choo kilikuwa ndani tulikuwa tuna kaa kota za jeshiwe ni wa kishua yaan kwenda kuoga bafu lipo huko nje... mita 30 kutoka ulipolala....afu usishtuke kweliii!!??
Ahahah ulilogeka vibayaDaah muda mrefu sana kuna siku ilikua juma mosi kulikua na maulid kwaiyo tukakesha mpaka juma pili asubuhi nikarudi home saa 3 nikafua fua kiuvivu uvivu mpaka saa 5 nikaanza kuhisi usingizi mzito nikaenda kulala nimekurupuka saa 11 jioni kijua kinaanza kuzama nikaona nishachelewa shule nilijiandaa haraka haraka nataka kuondoka marehem bibi ananiambia wee vipi kulikoni nikamuambia nawahi namba shule akaniambia mjukuu wangu hawajakuroga kweli huko ziarani ndo akili kurudi kumbe jioni aisee
Bado kinanichanganyaga sana tuππMpaka leo kinakuchanganya?
Naamanisha escort au wewe umeelewa lift ipi my friend ππππ€Ahahahha lift lakini