Ulishawahi kutoka usingizini na kudhani umechelewa kwenda shule au kazini?

Kabisa tangu najielewa!
Hongera mm mara kibao tena hadi nikiwa boarding mida ya saa kumi room inakuwa imetulia nikajua nimechelewa class

Nikiwa chuo nakumbuka nilivaa na nguo uku nakimbia njian niwai pepa nikakutana na mtu anatoka chuo nikamuuliza wenzangu washaanza mtihani alinicheka sana
 
Kwa Twakimu chache tu
Mtu akilala usingz mzito wa lisaa 1 hakuna Tofauti na mtu aliye lala 12 hr hiyo Ipo kisaikologia kabisa. Kwa hiyo wote' wakiamka ukiwaambia umelala muda gani hakuna atakayejua mpaka aanglie mazingira au saa.
 
Hongera mm mara kibao tena hadi nikiwa boarding mida ya saa kumi room inakuwa imetulia nikajua nimechelewa class

Nikiwa chuo nakumbuka nilivaa na nguo uku nakimbia njian niwai pepa nikakutana na mtu anatoka chuo nikamuuliza wenzangu washaanza mtihani alinicheka sana
🤣🤣🤣🤣Kha!we ukilala wanaweza kukuiba hata wewe mwenyewe
 
Mm kidgo ni tofauti mm utakuta mda wa kuamka umekaribia huaga naanza kuota ndoto kwamba naamka najiandaa kabisa tayr kwa ratiba ya iyo siku,,, hapo km sio alarm kuniamsha lazima nichelewe
 
Wewe alie kuloga amekufa 🤣🤣🤣🤣 Pole bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom