Ulishawahi kutokumuamini mpenzi wako japo hajakuonesha dalili yoyote ya usaliti?

Ulishawahi kutokumuamini mpenzi wako japo hajakuonesha dalili yoyote ya usaliti?

Kweli mwanamke ni kama bata ukimchunguza sana uwezi kumla bro sio wa kuwahamini mbwa hao
 
Binafsi simwamini mwanamke na haitatokea nikamwini kamwe, yaani sitamwamini kwa jambo lolote lile
 
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo sawa!

Je, Ushawahi kupitia hali hii kwenye mahusiano na ulipita vipi hiyo hali?

Karibu tu share uzoefu
Utakuwa unamatatz maana mwanaume mweny kuwa hivyo kwanza hajiamini kwa chochote si kimuonekan hata kiuchumi, pili haamini kama anapendwa kwel na Mdada huenda Dada nimzur hivyo anahofia kuachwa muda wwt
 
Back
Top Bottom