Ulishawahi kuwa addicted?

Ulishawahi kuwa addicted?

We acha tu nna washkaj zangu hao nahis wamenzid wakishaskia tu
"hello its Martin Taylor and Alan Smith this is Friendly Match" unasema naaam


Washikaji wa magari saba?
 
Mimi addiction yangu wacha nikae kimya maana nitachafua uzi bure!
 
My addictions :: Fifa 17 nikiwa chuo, microsoft free Games lile la free cell, Fantasy premier league na Archicad.
 
Mimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
Mkuu acha kabisa hizi mambo mimi PC games ....had nadodondoka na keyboard haahaaahaa wacha kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe tuko wengi....aisee.
I keep hustling ili hii hali isinipate,lakini sasa mambo yakizingiriana na nahitaji pesa, aisee nashauri watengeneze dripu maalumu kaa ajili yetu
Hahaha
Umeonaee, mie hadi naliaga kabisaa
 
Mi nimeshindwa kuacha kufanya ufisadi serikalini. Sijui nifanyaje niache.. Ufisadi umenipa nyumba 8 dar. Range rover 2 na gar nyingine ndogo za kawaida 3
 
Addiction yangu mpira wa miguu tuu, achilia mbali Manchester united timu ninayoishabikia ila imefika mahala naangalia ligi yoyote inshort nikigundua Kuna mechi yoyote inachezwa iwe ligi ya Italy, uholanzi, ufaransa au Spain nimo.

Hapa Kama leo imefika ijumaa nikiingia ndani ni mpira tuu mpaka j3 kazi yangu kubadili tu stations za mipira, hii addiction Wala sijutii inanisave na mengi ya walimwengu ingawa mahusiano yangu ya mwisho yalikufa kutokana na mwenzangu kushindwa kutokana na mpenzi yangu mpira yaliyopitiliza mipaka.

Napoongelea mpira wa miguu namaanisha kuangalia mpira, kubishana kuhusu mpira nipo kwenye groups kama 4 hivi za soccer, mavazi yangu ya kushindia nyumbani na mishemishe za hapa na pale kwa kiasi kikubwa ni jezi za mpira, marafiki wangu wengi wamebase kwenye mpira, Mimi sio muongeaji asili yangu Kama sio kubishana mpira basi tunaeza kukaa kimya hata masaa mawili usiponiongelesha, kwa vijana wa Sasa wapenda mpira Kuna kitu kinaitwa FPL ( Fantasy premeir league) humo namo nimo hii ndio imenishika kabisa.

Hiii addiction inaenda sambamba na muziki simu yangu ina application ya Spotify nikiweka earphones masikioni nisahau kabisa ukipiga simu sipokei hata awe ya boss.
Cha ajabu huo mpira kuucheza huweziii[emoji34][emoji34]
 
Back
Top Bottom