Buku tano Sasa jomonii kwa maisha ya hapa town hata siku utoboiii...ukijua kutafuta kutumia hupat mawazo!!!hehehee ngoja nijipongeze zangu eyooi kawa waweza njoo utupie hata kaglas kamoja cha wine samaki..."!! Upate stimu za kulalia....[emoji6]ehheheheh yangu machooo imagine kwa week let say unapoteza 5000/ nataman ungekuwa ndg yangu ningekuwa nakufinyaaaaaaaaa
Nyie wote hamnishindi mimi yan mpaka usiku nkilala sometime naota nipo psNahis tuko Pamoja kwenye hilo MkuU.
Addiction nyingine hazifai kusema, acha tubakie nazo mioyoni.
[emoji85][emoji85][emoji85]
Hadi papuchi sizani kama inafikia utamu wa FIFA 17
Buku tano Sasa jomonii kwa maisha ya hapa town hata siku utoboiii...ukijua kutafuta kutumia hupat mawazo!!!hehehee ngoja nijipongeze zangu eyooi kawa waweza njoo utupie hata kaglas kamoja cha wine samaki..."!! Upate stimu za kulalia....[emoji6]
Aiseee unajua unazingua unavyodis addiction za watu...[emoji35] aaaahhhhg ngoja nikuache nisije nikakumwagia wine machonii...kaone bichwaa lako kama PSG[emoji57]khaaa yaan mie nipoteze 5000 kwa mambo ya kipuuz namna hyo jaman hv nan kakaufundisha mamchezo hayo lakin wew ehhehee unanipa hasira tu ! nitakuja tu nijimiminie weeeeeee za mwanamke mwenzangu !teh teh
Aiseee unajua unazingua unavyodis addiction za watu...[emoji35] aaaahhhhg ngoja nikuache nisije nikakumwagia wine machonii...kaone bichwaa lako kama PSG[emoji57]
Mimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
Nahis tuko Pamoja kwenye hilo MkuU.
Hahahahaaa mtoroke bwana mwambie unaenda kwenye kitchenparty[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126]ahhaah nakutamania tu nw upo huko aisee nimemis hayo maisha dadeeeeeeeeeeeeekkkkkkkkkkkkkkk shubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmmmmmmmmiiiiiiiiiiiiittttttttttt
Hahahahaaa mtoroke bwana mwambie unaenda kwenye kitchenparty[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ooops pole[emoji27]haahhahaha sio fala tatizo argggghhhhh ! nataman mnoooooo! mweeeeee
Ooops pole[emoji27]
Njoooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haa usinipe pole ohooo sikawaii kukurupuka mie ndukiiiiiiiiiii
Njoooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njoooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohooooo umeanzaaaaaaa tena jomoniiii alafu umenitia ubaya na maneno yako ndo maana mikeka imechanika...Siku engine sikwambii tena[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]nakuhisg mrembo mzuri kazi kubet bet tu mxiew
Ohooooo umeanzaaaaaaa tena jomoniiii alafu umenitia ubaya na maneno yako ndo maana mikeka imechanika...Siku engine sikwambii tena[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
......[emoji125][emoji125][emoji125]Acha hizo funguka, acha aibu lol! Andika kisha utoke mbio hatakuona mtu.