Ulishawahi kuwa addicted?

Ulishawahi kuwa addicted?

Addiction yangu mpira wa miguu tuu, achilia mbali Manchester united timu ninayoishabikia ila imefika mahala naangalia ligi yoyote inshort nikigundua Kuna mechi yoyote inachezwa iwe ligi ya Italy, uholanzi, ufaransa au Spain nimo.

Hapa Kama leo imefika ijumaa nikiingia ndani ni mpira tuu mpaka j3 kazi yangu kubadili tu stations za mipira, hii addiction Wala sijutii inanisave na mengi ya walimwengu ingawa mahusiano yangu ya mwisho yalikufa kutokana na mwenzangu kushindwa kutokana na mpenzi yangu mpira yaliyopitiliza mipaka.

Napoongelea mpira wa miguu namaanisha kuangalia mpira, kubishana kuhusu mpira nipo kwenye groups kama 4 hivi za soccer, mavazi yangu ya kushindia nyumbani na mishemishe za hapa na pale kwa kiasi kikubwa ni jezi za mpira, marafiki wangu wengi wamebase kwenye mpira, Mimi sio muongeaji asili yangu Kama sio kubishana mpira basi tunaeza kukaa kimya hata masaa mawili usiponiongelesha, kwa vijana wa Sasa wapenda mpira Kuna kitu kinaitwa FPL ( Fantasy premeir league) humo namo nimo hii ndio imenishika kabisa.

Hiii addiction inaenda sambamba na muziki simu yangu ina application ya Spotify nikiweka earphones masikioni nisahau kabisa ukipiga simu sipokei hata awe ya boss.
vipi kubeti mkuu
 
vipi kubeti mkuu
Kubet nilibet Kama Mara 3 hivi nililiwa zote nilifungua account meridian nilikua nabet online ila Sasa nikasahau password na namba ya voda ambayo ndio nilifanyia registration kwa ajili ya kudepost na withdraw pesa nikaipoteza basi nikapotezea kabisa mambo ya kubet ila nitarudi Tena nikipata mdaa wa utulivu
 
We acha tu nna washkaj zangu hao nahis wamenzid wakishaskia tu
"hello its Martin Taylor and Alan Smith this is Friendly Match" unasema naaam
Martin Taylor ha ha ha ha
Jana kulikua Kuna official launch ya FIFA18

Ila Martin Taylor anapendezesha Sana mechi za EPL akiwepo yeye Kama commitator jinsi anavyotangaza goli Tena usiombe goli liwe Kali utafurahi, mechi ya Liverpool vs man city.

Alisema hivi " Mendy is like another Otamendi without OTA" [emoji23]
 
Askari wangu hii kitu acha naweza kusahau hata jf labda nikutane na mbabe sana anisumbue hapo ndio naweza kuachia pad.
Aisee hata awe mbabe kiasi cha chamadola mimi lazima nilazimishe ubongo wangu ufanye harakati nimfunge
 
JF mpaka mme wangu akiongea na mimi nipo nasoma na kucheka. Vingine mhu shiida ka wine.


kwakweli nanmie nipo addicted na jf !nasukuma chapat lakini nipoonline napika nipo online mwee! ht mm labda aniweke kikao baba mzaz nitaacha kuchungulia !

kawine niliwah kuwa addicted pia nikaacha kbs !nagusa mara 1 moja ! nikiwa an sononi sana !
 
Back
Top Bottom