Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na mtu usiyempenda?

Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na mtu usiyempenda?

Mzurulaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
283
Reaction score
639
Habari wa JF.

Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana.

Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa.

Binafsi ishanitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye sikuvutiwa naye. Kama ilivyo slogan yangu huwa nahuruma sana. Usumbufu wa mwanamke unaweza kunifanya nibadiri jibu hapana kuwa ndio sababu tu ya huruma.

Nakumbuka nilishawahi kumtongoza mwanamke ambaye tuseme nilimtamani kwa muda mfupi. Ila nilikuja kugundua sikuwa nimempenda. Nimedumu naye kwenye mahusiano miezi miwili tu. Mwisho wa siku nikaona kama namuumiza na kumpotezea muda. Nikaamua nimweleze ukweli japo aliumia sana.

Aliniomba nimpe muda atanifanya nimpende na niwe na hisia naye. Lakini nilimsihi yakuwa sitaki kuendelea kumuumiza.

Ndipo ukawa mwisho wa mimi na yeye.

Je, nawe ishakukuta au kukutokea hii..?
 
Mwanamke hana Huruma Ndio maana Wamejazana Kwenye Makanisa Maana Wana Imani Zaidi Kuliko Huruma. Yupo Radhi Kuacha Familia Yake Isile Usiku mzima ila Aende Kuombewa Na Mchungaji

Ila Mwanamume Hayupo hivyo
Na wale wanaume wanao kula na kunywa bar wakati nyumbani wanakula ugali na fungu moja la mchicha tuwaweke kundi lipi?
 
𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐢𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐰𝐚 5 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐞𝐲𝐞 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐨𝐦𝐚𝐚 𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐦𝐮𝐨𝐚 𝐲𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐨𝐤𝐨𝐥𝐞 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐮,
𝐧𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐧𝐢𝐳𝐢𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐲𝐞𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚𝐝𝐮𝐦𝐮 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐚𝐭𝐚𝐣𝐢𝐯𝐮𝐫𝐮𝐠𝐚 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐡𝐚𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚
 
Kwani umelazimishwa ndugu?

Moyo hauna hisia lakini mzigo unapiga kama kawaida.
 
Back
Top Bottom