Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na mtu usiyempenda?

๐ง๐๐ข๐จ ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ง๐ข๐ญ๐จ๐ค๐ž๐š ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ฐ๐š 5 ๐ฒ๐š๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐ž๐ฒ๐ž ๐š๐ฆ๐ž๐ค๐จ๐ฆ๐š๐š ๐ญ๐ฎ ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ฆ๐ข๐ง๐ข ๐ง๐ข๐ญ๐š๐ฆ๐ฎ๐จ๐š ๐ฒ๐ฎ๐ฉ๐จ ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฆ๐š๐ค๐š๐ง๐ข๐ฌ๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ฅ๐จ๐ค๐จ๐ฅ๐ž ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ฆ๐›๐š ๐ญ๐ฎ,
๐ง๐š ๐š๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ง๐ข๐ณ๐ข๐ง๐๐ข๐ค๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐๐ž๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ข๐ง๐š๐ฒ๐ž๐ฆ๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฆ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐š๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฅ๐š๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐๐ž๐ฆ๐ฎ ๐š๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ฏ๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ ๐š ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐š๐œ๐ก๐š ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐œ๐ก๐จ๐ค๐š ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ก๐š๐ฅ๐ข ๐ฆ๐จ๐ฒ๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ก๐š๐ฎ๐ง๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ข๐š ๐ง๐š ๐ก๐ฎ๐ฒ๐จ ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ฆ๐›๐š
Pole mkuu huenda utakuja kupata hisia na anayeshinda kwa waganga wa jadi
 
๐’๐ข๐ง๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐›๐ฎ๐ญ ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ง๐š ๐š๐ข๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ฌ๐ข๐œ๐ก๐š๐ง๐š ๐š๐ง๐š๐ฒ๐ž๐ฆ๐ญ๐š๐ค๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ฎ๐ญ๐š๐ฌ๐ก๐ข ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ฆ๐ฎ๐š, ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฌ๐ข๐จ ๐ค๐ข๐ฆ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š๐ฆ๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐๐ก๐š๐ญ๐ข ๐ง๐š ๐ฌ๐ข๐จ ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š๐ก๐ข๐ฌ๐ข๐š ๐ง๐š๐ฒ๐ž
 
Sasa kama unakuwa na utashi wa kuamua uwe na yupi ilikuwaje ukafata huyo wa kufunga na kuomba wakati hisia huna
 
Kwani umelazimishwa ndugu?

Moyo hauna hisia lakini mzigo unapiga kama kawaida.
๐‡๐š๐ฉ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ณ๐ข๐ ๐จ ๐ฌ๐ข๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข ๐œ๐จ๐ณ ๐š๐ฆ๐ž๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐๐ข๐ง๐ข
 
Habari wa JF.

Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana.

Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa.

Binafsi ishanitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye sikuvutiwa naye. Kama ilivyo slogan yangu huwa nahuruma sana. Usumbufu wa mwanamke unaweza kunifanya nibadiri jibu hapana kuwa ndio sababu tu ya huruma.

Nakumbuka nilishawahi kumtongoza mwanamke ambaye tuseme nilimtamani kwa muda mfupi. Ila nilikuja kugundua sikuwa nimempenda. Nimedumu naye kwenye mahusiano miezi miwili tu. Mwisho wa siku nikaona kama namuumiza na kumpotezea muda. Nikaamua nimweleze ukweli japo aliumia sana.

Aliniomba nimpe muda atanifanya nimpende na niwe na hisia naye. Lakini nilimsihi yakuwa sitaki kuendelea kumuumiza.

Ndipo ukawa mwisho wa mimi na yeye.

Je, nawe ishakukuta au kukutokea hii..?
heeee, sasa ulimtongoza ya nini? si ungemwambia tu nimekutamani tu for a day kuliko kuumiza hisia za mwenzako? kumbe hizi mavitu zipo eeeeh

makubwaaaaaaaaaaaaaaa
 
zipo nyingi mno , kuna wanaume wanavutiwa na akili au tabia au jinsi mwanamke anavyoongea. Sasa mwanzoni kwasababu ya tamaa anahisi mwanamke ni full package ila akikaa nae mara 3 - 10 anaona alizingua, sasa kuamua kumuacha kabla hajaendelea kumuumiza ndio kipengele.
 
Sana tu

Kuna demu nilimtongoza kupunguza hamu zangu kama mnavyojua wazee wale mademu wa kuzugia tu kupunguza hamu aliniganda mwaka mzima kumuacha nilishindwa sababu nikiwa na ukame napata papuchi kiurahisi wengine walikuwa wasumbufu kimtindo hadi nilivyoama mkoa nikabadili na namba
IMG_20220305_113134.jpg
 
zipo nyingi mno , kuna wanaume wanavutiwa na akili au tabia au jinsi mwanamke anavyoongea. Sasa mwanzoni kwasababu ya tamaa anahisi mwanamke ni full package ila akikaa nae mara 3 - 10 anaona alizingua, sasa kuamua kumuacha kabla hajaendelea kumuumiza ndio kipengele.
ila nawaza tu kwa sauti, ni bora kumuacha tu ile ya kiume kuliko kumwambia nimekosa hisia na wewe

just imagine the pain mtu anapata
 
ni bora awe mkweli, kuliko kuamua kukausha. Akikausha itakufanya uwe very insecure, maana utawaza daily ulifeli wapi? wakati ni kwamba tu hakukupenda basi
 
duuuh, wanawake tunapitia mengi

loooh mimi bora aniambie tu kwa sasa sitaki kuwa kwenye relationship nitajiongeza alone rather than telling me direct

uwiii cjui kama nitalala week hiyo nzima kwa ukweli huo,,,labda ukute na mimi sikumpenda kihivyo
 
hahaha japo mtu akikwambia kuwa unafeli wapi atakutengeneza hata kwa ajae yasijirudie kama ni makosa ambayo mwanaume yoyote hatoweza kukufanya uwe mke
 
Halafu mkiambiwa wanaume hamjui mnataka nini mnabisha! Wewe si kuna uzi nimekukuta unasema kwamba wanaume wengi ukiwemo wewe mkipewa papuchi bila kupimiwa ndiyo mnapenda kweli sasa wewe huyo aliyekupa mbona uliamua kumuacha?

Na pia nikasema kuna sehem tunakamatika tunanata mazima si unajua tena ndege mjanja ananasa kwenye tundu bovu

Point ya papuchi itabaki palepale tunapenda sana papuchi that why pia niliweza kumuonea huruma

While other factors vary papuchi must remain constant
 
Habari wa JF.

Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana.

Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa.

Binafsi ishanitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye sikuvutiwa naye. Kama ilivyo slogan yangu huwa nahuruma sana. Usumbufu wa mwanamke unaweza kunifanya nibadiri jibu hapana kuwa ndio sababu tu ya huruma.

Nakumbuka nilishawahi kumtongoza mwanamke ambaye tuseme nilimtamani kwa muda mfupi. Ila nilikuja kugundua sikuwa nimempenda. Nimedumu naye kwenye mahusiano miezi miwili tu. Mwisho wa siku nikaona kama namuumiza na kumpotezea muda. Nikaamua nimweleze ukweli japo aliumia sana.

Aliniomba nimpe muda atanifanya nimpende na niwe na hisia naye. Lakini nilimsihi yakuwa sitaki kuendelea kumuumiza.

Ndipo ukawa mwisho wa mimi na yeye.

Je, nawe ishakukuta au kukutokea hii..?
Kwenye hela 99% ya wanawake wanaweza hata kama wakiwa wanateseka.
 
hahaha japo mtu akikwambia kuwa unafeli wapi atakutengeneza hata kwa ajae yasijirudie kama ni makosa ambayo mwanaume yoyote hatoweza kukufanya uwe mke
Yaan Iko hivi, anirekebishe tu lakin kama anaona Hani feel Tena ajaribu tu kuniacha kiume,,,loooh inauma jaman mtu akuambie kabisa eti mm sikupendi Tena Bora apunguze mazoea then nitajiongeza...mapenzi hayajawahi acha watu salama
 
๐‡๐š๐ฉ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ณ๐ข๐ ๐จ ๐ฌ๐ข๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข ๐œ๐จ๐ณ ๐š๐ฆ๐ž๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐๐ข๐ง๐ข
๐‡๐š๐ฉ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ณ๐ข๐ ๐จ ๐ฌ๐ข๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข ๐œ๐จ๐ณ ๐š๐ฆ๐ž๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐๐ข๐ง๐ข
na mnaishi pamoja?

Mbona kama una maisha magumu sana ndugu.
 
Mimi hapa,
Niko kwny mahusiano na Mchepuko wangu, mwaka wa 3 Sasa ila simpendi kabisa kutoka moyoni wala Nini.

Ila niko nae kwasababu ananifikisha vizur kileleni, Tena Raha mustarehe kabisa and not otherwise [emoji4]
 
Back
Top Bottom