Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Na hiyo 90% unafikiri wanacheat na wanaume wenzao au wanawake 90%?

Kwa sisi wataalam wa 'isimu matumizi' hapo tungesema 'takbiru ala walibalu' maana hilo jibu lako ni umemkoma nyani giladi mchana kweupeee pyeeee!!!

Unajua kuna hii dhana potofu ya ku-bash wanaume na kuwafanya waonekane ni wapenda ngono na wasio waaminifu wakati ukweli wa mambo ni kwamba kwa zaidi ya asilimia 99.8 mwanaume akimwibia mwanamke wake penzi nje ya uhusiano wao hufanya hivyo na mwanamke mwingine. Ndio maana kwangu mimi sikubaliani na hii dhana ya kwamba eti wanaume ndio wanaongoza kwa kutokuwa waaminifu. Tuko shingo kwa shingo. Asikudanganye mtu.
 
toba! sasa kwa style hiyo una imani na mama matesha? au ndio umemwachisha kazi na sokoni unaenda mwenyewe?
Namshukuru sana kwakuwa kama anafanya infidelity basi yuko makini. Hicho ndicho kinachotakiwa kwenye ndoa. Unakuwa makini, unafanya kwa usalama.

teh teh teh....
Badala ya kuanzisha sala ya toba, we unacheka!!
 
Hiyo sala nafanya kila kila siku halafu unarudia yale yale.... (eti timu ya ushindi)....😡

Ya nini malumbano....
 
lakini wanawake wengi ni waaminifu katika ndoa zao!
 
Haya ntakuzawadia red apple.

Ya nini malumbano?:closed_2:
 
lakini wanawake wengi ni waaminifu katika ndoa zao!

Kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake! Lakini wanawake walioko kwenye ndoa ambao wanapiga ''kazi za nje'' ni wengi sana!
 
Mbu unamaanisha nini ??
naona wewe na masaki mnaongelea kitu kimoja ...eeh

...la hasha FL1, ha ha ha... Masaki kanifurahisha aliposema " 'stolen kisses are the sweetest' -tunakosa uhondo!"
Nimeangalia kura za ndio zilizopigwa mnh, karibia patapatikana ushindi wa Tsunami.
Inaelekea SIE tuliopiga kura za hapana hatujabahatika kupata hizo opportunity kama hao wenzetu.
 
Je pete yaweza kuwa ulinzi wa ndoa yako??je ni neema ya mungu kukulinda na maovu ya tamzaa za dunia hii.,,yawezekana we ni mwathirka wa wizi w ndoa yako ama ndoa za watu karibu kawe ufufo na uzima jumapili kutakuwa na ibada maalum juu yenu ikiwemo kurudisha nyota zenu zilizopotea
 
Hizo nyota zao zimeenda wapi? Umewaokotea?
 
YAANI MI HAPA NINAVYOKWAMBIA...
kila siku asubuhi lazima nitoke ''nje'' ya ''ndoa''/tabenako niweke ovadraivu kwenye tukutuku langu niyeye kazini!

NATOKA NJE YA NDOA KILA SIKU
 
Je pete yaweza kuwa ulinzi wa ndoa yako??je ni neema ya mungu kukulinda na maovu ya tamzaa za dunia hii.,,yawezekana we ni mwathirka wa wizi w ndoa yako ama ndoa za watu karibu kawe ufufo na uzima jumapili kutakuwa na ibada maalum juu yenu ikiwemo kurudisha nyota zenu zilizopotea

Duh unataka kungarisha nyotaaaaaaaaaa? umenikumbusha Abdul wa Maisha Plus
 
icon1.gif
Umetoka nje ya ndoa mara ngapi??

.....Mara kibao
Inakuhusu nini?
 
Je pete yaweza kuwa ulinzi wa ndoa yako??je ni neema ya mungu kukulinda na maovu ya tamzaa za dunia hii.,,yawezekana we ni mwathirka wa wizi w ndoa yako ama ndoa za watu karibu kawe ufufo na uzima jumapili kutakuwa na ibada maalum juu yenu ikiwemo kurudisha nyota zenu zilizopotea

We umetoka mara ngapi?
 
Back
Top Bottom