Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,553
Habari zenu wakuu,
Nimemkumbuka kaka fulani tulikuwa marafiki sana tangu nikiwa secondary. Kwa miaka 10 alikuwa mtu wangu wa karibu sana, mshauri wangu kwenye kila Jambo.
Kiasili Mimi ni introvert, sipendi mashost, mashoga wale wakunijua kiundani. So kuwa na this guy ambae nlikuwa namwambia issue zangu ilinifanya niwe na amani sana atleast I have someone wakusikiliza matatizo yangu when I'm down.
Tulikuwa marafiki, kila mtu was so free and open kwa mwenzake. Akiwa na stress za Kazi, maisha au mahusiano atanipigia nimpe ushauri. Akipata msichana lazima aniulize unamuonaje huyu.
Nilikuwa nikiwa hata na stress za mahusiano au maisha, hata kama ni usiku wa manane nitampigia atapokea. Sometimes ninauchungu na hasira nikimpigia akipokea tu naanza na yowe nalia hapo atanibembeleza nikitulia naanza kumwadithia kilichojiri.
Alikuja kuoa later, Wife wake akaanza kumind urafiki wetu wakati kiukweli hatukuwa na cha zaidi. We spoke about it na niliamua tusitishe ukaribu wetu, Mke wake awe na Amani.
I really miss you Rafiki.