Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Nimepata msg ndeeefu ya aliyekuwa my veeeery very best friend jioni hii, kuwa japo we're not close enough nowadays as we used to be sababu amekwishaoa na ndoa inam-keep busy, but am still the best thing that happened to his life once in a lifetime,

Nimeisoma text yake ikanigusa, nikaogopa kuijibu maana huu si muda rafiki wa kuwasiliana na mtu 'usiyehusika naye'..! Naingia JF napatana na this thread, Mpaka I had the feeling kuwa isije kuwa yupo humu naye kaona hii thread ndiyo akanikumbuka..!!
 
Kiasili Mimi ni introvert, sipendi mashost, mashoga wale wakunijua kiundani. So kuwa na this guy ambae nlikuwa namwambia issue zangu ilinifanya niwe na Amani Sana atleast I have someone wakusikiliza matatizo yangu when I'm down
Are you single?! I like Introvert Girls...

To answer your question... I had this gal, niliamini ni rafiki tu! Tukaaminishana kwamba sisi ni marafiki tu lakini tukaishia kukulana!!!

Lakini amini usiamini, hakuna mapenzi mazuri kama yanayoanzia kwenye urafiki tu kwa sababu hata mahusiano yenu yanaendeshwa kirafiki zaidi, na ni ngumu sana kugombana kwa njia za kishenzi coz' you're friends!!!
 
Nimepata msg ndeeefu ya aliyekuwa my veeeery very best friend jioni hii, kuwa japo we're not close enough nowadays as we used to be sababu amekwishaoa na ndoa inam-keep busy, but am still the best thing that happened to his life once in a lifetime,

Nimeisoma text yake ikanigusa, nikaogopa kuijibu maana huu si muda rafiki wa kuwasiliana na mtu 'usiyehusika naye'..! Naingia JF napatana na this thread, Mpaka I had the feeling kuwa isije kuwa yupo humu naye kaona hii thread ndiyo akanikumbuka..!!
Pole mkuu. Mimi till today sijawahi pata mtu ambae namwamini na Niko open nae like how I used to be with him. Namiss Sana Ile friendship
 
Mkuu dizain Kama ulikuwa unamtumia huyo dada. Urafiki wa kweli Mara nyingi pesa haina nafasi labda Kama mmoja anashida inayohitaji msaada wa lazima.
Lakini mkianza kuombana pesa lazima urafiki ufe
Hapana! Nilikuwa na matatizo mengi ya kifedha lakini mpaka leo natambua alikuwa rafiki wa kweli Mimi nilifeli ku umanage urafiki wetu.
I always regret!
 
Are you single?! I like Introvert Girls...

To answer your question... I had this gal, niliamini ni rafiki tu! Tukaaminishana kwamba sisi ni marafiki tu lakini tukaishia kukulana!!!

Lakini amini usiamini, hakuna mapenzi mazuri kama yanayoanzia kwenye urafiki tu kwa sababu hata mahusiano yenu yanaendeshwa kirafiki zaidi, na ni ngumu sana kugombana kwa njia za kishenzi coz' you're friends!!!
Mkuu baada ya kukulana urafiki uliendelea ama ilikuwaje?
 
Umenikumbusha msh'kaji wangu G,daah!!! Tulikuwa zaidi ya marafiki buanaa pale SJUT Dodoma,.yaani ni yule msh'kaji ambaye akisafiri akachelewa kurudi chuo na assignments zinatakiwa basi nakesha Google namfanyia na namkusanyia kabisaa and likewise,.mmoja kati yetu akiwa na changamoto yoyote ile hata ya mahusiano basi tutaumia wote,hadi kupiga 🍻🍻 tupo wote in short tulikuwa karibu kuliko tulivyokuwa na wapenzi wetu,.

Sijui kwann urafiki wetu ulikuja kuisha namna ile 😔ila najua ulikuwa damu yangu kinyama,.popote ulipo nakutakia tuu yenye kheir,tulibebana sanaa G,. anyway one love 💕
😂😂 mkuu umenikumbusha kikuyu na misuli usiku kule Lt 3 ,dah mda unakimbia sana
 
Yea.

Ushkaji ulianza primary. Akajulikana kwetu.

Tumemaliza four akaolewa. Wivu wa mume ukazidi tukaua mazoea, alikua anafanya kazi ITV kipindi hicho mi nagaragazana na shule bado, katika wiki anaweza akawahi kutoka kazini mara tatu anakuja fly emirates kupiga stori.

Goma la kipindi kile likaniambia nichague yeye au huyu rafiki. Ushkaji ukapungua zaidi ikawa haji fly emirates mawasiliano kwenye simu tu. Nilivyoachana naye urafiki ukarudi kiasi, mumewe akaenda Sauzi akapata mzulu akamuacha mdada.

Basi tukawa tukikaa tunachekana.

Anyway urafiki umekufa mwaka jana. Mumewe alirudi kuomba msamaha na sharti likawa kunichekecha so iko hivyo yupo Sauzi siku hizi.
 
chukulia ww ndo mke wa rafiki wa binti fulani,unaweza kuruhusu mahusiano ya ukaribu wa namna hyo uendelee kuwepo?
Tangu wakiwa kwenye mahusiano she knows we are friends na she was all happy na urafiki wetu, na Mimi ndo nlikuwa msuluhishi wa issues zao. Kwenye ndoa ndio unakuwa jealous and manipulative, angeonesha true colors tangu awali, Ningepunguza mazoea kuanzia mwanzo [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom