Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wapi nimeandika kwamba kila siku natafutwa mimi?Ongea na watu , na wewe pia wasaidie sio usaidiwe wewe tu wapigie simu ,salimia sio kila siku utafutwe wewe kwani we nani
Acha majivuno uone kama utaendelea kuita watu wanafiki
Wapi nimeandika kila siku nasaidiwa mimi tu?
Jf watu mnapenda sana kupigia watu ramli.
Mlishapata na sababu za urafiki wa watu kufa.
Una hakika gani kama huyo rafiki ninayemsema nawasiliana naye kila siku na namtafuta au ananitafuta kila siku?