Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Mimi ninao wakike watatu;

Namba 1.
Huyu nilisoma nae darasa moja shule ya msingi. Tukaachana sekondar. Tukasoma tena pamoja chuo kikuu. Hakuna Siri kati yetu, shida yake ni yangu yangu ni yake. Mshauri wangu mpaka leo, nami mshauri wake.

Ila nilimla mara kadhaa, yeye ndo chanzo. Siku ya kwanza kumla alikuja gheto akakuta nimepoa Kwan niligombana na mpz wangu. Daima hapend kuniona nakosa raha. Baada ya kumsimulia kisa,akasema yeye yupo nisiwaze! Kilichoendelea hapo mmmmhhhh.

Alichonishangaza aliwahi achana na mpz wake sababu yangu. Jamaa alitaka kuvunja urafiki wetu. Demu alimwambia asepe yeye, hatuache kwani tumejuana tangu utoto. Sasa ameolewa ana watoto watatu, ila mumewe(shemeji) anajua urafiki wetu ulivyo,hana Shaka nami.
 
Namba 2.
Huyu nae ni rafiki yangu hasa. Dada ananikubali kinoma. Tumekuwa tukisaidiana sana ktk matatizo. Ndo mtu pekee anayeweza nikopesha 1M+, ama nisaidia kiasi fulani Cha pesa.
Mpz wangu kipindi hicho alijitahid kuuvunja urafiki wetu, hakuweza. Nilimwambia afadhali wewe nikupoteze kuliko fulani.

Nae huyu nilimla mara tatu. Lakini urafiki wetu haujafa hadi leo. Huyu na yule namba moja nimewakutanisha tumejenga utatu wa maana.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na urafiki na jinsia tofaut mkapendana na kuwa wawazi
 
Namba 2.
Huyu nae ni rafiki yangu hasa. Dada ananikubali kinoma. Tumekuwa tukisaidiana sana ktk matatizo. Ndo mtu pekee anayeweza nikopesha 1M+, ama nisaidia kiasi fulani Cha pesa.
Mpz wangu kipindi hicho alijitahid kuuvunja urafiki wetu, hakuweza. Nilimwambia afadhali wewe nikupoteze kuliko fulani.

Nae huyu nilimla mara tatu. Lakini urafiki wetu haujafa hadi leo. Huyu na yule namba moja nimewakutanisha tumejenga utatu wa maana.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na urafiki na jinsia tofaut mkapendana na kuwa wawazi
Hitimisho hao ni mademu wako sio marafiki tena!
 
Shit this this is friend friend with benefits, acha kutuzuga mzee
Daa.. mimi naongea kwa masikitiko makubwa sana kwa sababu, napataga marafiki wa kushibana wa jinsia tofauti na yangu. TATIZO LINAKUJA HAPA, katikati ya urafiki ndio umenoga sasa, tunajikuta tupo kitandani.

Baada ya hapo sasa tunaahidiana hio ni just a one time thing, imetokea tu bahati mbaya. Tukikutana tena mambo yanajirudia, tunabaki kusema tuendelee kukimbiza mwenge ila MARUFUKU KUFALL IN LOVE KWA MWENZAKE.

Sasa, wivu wivu ukianza unajua tayari makubaliano yashavunjwa. Na urafiki unapungua kiivvyo mpaka unatokomea kusikojulikana.
 
Sidhani kama ni wewe boss.
Au unafanana naye??
Nitajie jina nione.

Huwa nipo huru kumwambia changamoto yangu yoyote,na yeye hivyohivyo.
Kuna kipindi mtu unapita,haujitaji pesa Wala vitu..Bali unahitaji faraja tu!
Anajitokeza kukufariji,anakuombea.
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.

Ninao marafiki wengine wengi tu wazuri,
Pengine unaweza kuwa upo miongoni mwao..ila huyu niliyemtaja hapa nadhani ndiye niliyemzoea zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uwe rfk yangu....
 
Ila watu wengine mna vituko sana, kwa hiyo ulitaka uendelee kumlilia mme wa mtu saa nane usiku na mke aone sawa tu [emoji1787]
[emoji23][emoji23] mkuu obvious nisingeweza kumpigia sim usiku wa manane Tena. Ila urafiki in general ulikufa because the wife was jealous, I guess because mume wake alikuwa so free na Mimi as a friend na wao hawana ukaribu huo.
She thought by eliminating me labda mume wake angekuwa karibu na Yeye.
 
Ni Rafiki yangu haswa
Nimehusika kwa namna moja ama nyingine kulinusuru penz lake.

Huwa ananikumbusha zle moments huwa naishia kucheka.

Hata akipata ujauzito nakuwa wa kwanza kujua [emoji23]

Ni mshauri wangu hasa pale napotaka ufafanuzi kuhusu upande wa KE

Ameniibia siri nyingi za KE

Na mie nimetoa siri nyingi za ME
 
Back
Top Bottom