Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kama si wewe nakubaliana na mada kwa asilimia 90 .Na kama siyo mimi hukubaliani na mtoa mada?
Grena njoo umthibitishie mama mchungaji huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ameoa jini.Daaa huu uzi umenigusa mmnoooo,
Nilikuwa na rafiki pia, alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu,
Alikuwa na mwanamke ambaye sahizi ni mke wake, nilimpenda yule dada kwaajili ni demu wa rafiki yangu, alipooa nadhani ilikuwa ni ndoa yangu ya
Sina experience yoyote Vale.Nawe tupe experience yako Eli
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mtu akishaoa kuendeleza urafiki kazi sanaa...Daaa huu uzi umenigusa mmnoooo,
Nilikuwa na rafiki pia, alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu,
Alikuwa na mwanamke ambaye sahizi ni mke wake, nilimpenda yule dada kwaajili ni demu wa rafiki yangu, alipooa nadhani ilikuwa ni ndoa yangu ya
Hahahaa Ila Jeiefuu 🥲 🥲Wewe ndo ulikua mnafiki wamekuacha.
Ugonjwa uko wapi wakati kaoa mtu mwingine?Jamaa kama hsjaomba walau aone uchi wako, basi ni mgonjwa huyo...!
Kumbe humu tunahanja na wanafunzi wetu kumbeUmenikumbusha msh'kaji wangu G,daah!!! Tulikuwa zaidi ya marafiki buanaa pale SJUT Dodoma,.yaani ni yule msh'kaji ambaye akisafiri akachelewa kurudi chuo na assignments zinatakiwa basi nakesha Google namfanyia na namkusanyia kabisaa and likewise,.mmoja kati yetu akiwa na changamoto yoyote ile hata ya mahusiano basi tutaumia wote,hadi kupiga 🍻🍻 tupo wote in short tulikuwa karibu kuliko tulivyokuwa na wapenzi wetu,.
Sijui kwann urafiki wetu ulikuja kuisha namna ile 😔ila najua ulikuwa damu yangu kinyama,.popote ulipo nakutakia tuu yenye kheir,tulibebana sanaa G,. anyway one love 💕
I'd rather be called manipulative than being okay with a female friend who is much closer to my hubby than me.Ngoja nikuambie kitu, once they get manipulative girlfriends or wives the friendship dies.
Mkuu mbona wakati wa uchumba mtu anakuwa okay kuwa close na boyfriend wake Tena nyinyi wote watatu mnakuwa marafiki, Wakikosana wewe ndo kimbilio unasuluhisha kesi. Ila akiingia kwenye ndoa wewe unakuwa mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]I'd rather be called manipulative than being okay with a female friend who is much closer to my hubby than me.
How daft.I'd rather be called manipulative than being okay with a female friend who is much closer to my hubby than me.
Ongo wewe [emoji1787]Sina experience yoyote Vale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] we jamaaMke wangu nishamuacha Sasa fanya urafki urudi.
Kuna English Tanganyika International School na hii yetu ya Hawa the bus driver ya kwako ni hiyo ya kwanza hapo.How daft.
Learn to keep healthy boundaries and respect friendship just like the female friends respect your marriage.
Not every female is a hoe and is after your man. They themselves have their own men.
ar wi tugeza?