ABILITY_INK Member Joined Jul 26, 2022 Posts 13 Reaction score 35 Apr 18, 2025 #1 Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,951 Reaction score 19,766 Apr 18, 2025 #2 Najua umetoka kuzurula mjini X siyo muda,sasa umekuja na stori za town Kwa watu wa huku matombo
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,117 Apr 18, 2025 #3 Skujbu tena na nlipuuza na kuji keep busy na adui yng halisi ambaye ni maisha, siwez pendwa na kila mtu maana mimi siyo hela wanadamu hawampendi hata MWENYE ENZI MUNGU wanamkosoa sembuse mimi mti mkavu.
Skujbu tena na nlipuuza na kuji keep busy na adui yng halisi ambaye ni maisha, siwez pendwa na kila mtu maana mimi siyo hela wanadamu hawampendi hata MWENYE ENZI MUNGU wanamkosoa sembuse mimi mti mkavu.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Apr 18, 2025 #4 Ilibidi nifunge safari mpaka kwa mhusika akanijibu huko, sipendagi jipu fupi kwenye majonzi, ni dharau
Ilibidi nifunge safari mpaka kwa mhusika akanijibu huko, sipendagi jipu fupi kwenye majonzi, ni dharau
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,791 Reaction score 23,561 Apr 18, 2025 #5 OK