Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

Kwa kweli aisee, yaani walituweza sana.

Ingawa kupitia uwongo wa hivi waliweza kulinda maadili, maana ilifikia wakati mwili wa Mwanamke unakuja kuuona wakati wa ndoa ama uchumba ukiforce.

Sio miaka hii, watoto wa darasa la 3 wanajua kut***ana
Dah we mzee Ume nichekesha Sana,😁😂🤣
 
Haitikiwi iwe hivyo,inatakiwa mama afunge uzazi mapema siyo mtoto mpaka anajua kwamba mama ana mimba.
Acha ujinga wewe, kuna majirani zangu utotoni binti alikuwa na mtoto mkubwa kuliko wadogo zake wawili wa mwisho!
Yaani jamaa alianza darasa la Kwanza wakati wajomba zake wako nyumbani wakisubiria wafikie umri wa kwenda shule[emoji16][emoji16].
Tukawa tunamtania awaamkie wajomba zake!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.

Nimekuja kujua mtoto anazaliwa baada ya kusoma topic ya Ukuaji kwenye somo la Sayansi darasa la 6.

Kweli Wazee wa Zamani walituweza 🙌
Walikuwa na hekma na maadili sana
Huwezi kumuona mama akiwa mjamzito bali walikuwa wanaficha sana tumbo

Ila leo hii mmh unasifiwa kabisa
Mambo yamebadilika sana
 
Ni kweli Mkuu

Ndiyo maana maadili yamepungua miongoni mwa vijana wa kisasa
 
Vijana siku hizi hata wazazi wao hawawaheshimu achilia mbali watu baki

Nimeshuhudia dogo akiniuloza SHIDA? ofisi ya serikali tena bila soni usoni
Ila hakujua kuwa boss wake nilisoma nae, mpumbavu sana eti baadae ananiamkia nilimungalia tu
 
Kuna haja ya kujisahihisha, maana athari zake ndiyo zimeanza kuonekana.

Baada ya miaka 20 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi
 
Umenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.

Nimekuja kujua mtoto anazaliwa baada ya kusoma topic ya Ukuaji kwenye somo la Sayansi darasa la 6.

Kweli Wazee wa Zamani walituweza 🙌
Tumese tu Ulikua kilaza kama Sio Uongo huu. Std Six ulikua na 4 years ama?
 
Back
Top Bottom