Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

Kuna sehemu niliona mtoto wa darasa la nne eti anachomwa sindano ya kuzuia mimba.

Imagine, hivi akifika umri wa kuolewa wa miaka 24 atakuwa na mayai ya kubeba mimba kweli 🙌
Hivi mbona wewe Mwongo mwongo sana🤔, Kuzuia Mimba mtu hajabarehe? Na ukumbuke ni illegal.
 
Kwanini unaniita Mwongo?

Hizo ni precautions zilichokuliwa walau kuwasaidia Watoto wa Kike wahitimu Elimu ya Msingi, maana tatizo la mimba za utotoni lilikuwa kubwa sana huko.
 
Tumese tu Ulikua kilaza kama Sio Uongo huu. Std Six ulikua na 4 years ama?
Utakuwa mgumu kuelewa Mkuu, nimeeleza kuwa mambo ya kujua mtoto anazaliwa nimekuja kujua nikiwa darasa la sita ambapo nilikuwa na zaidi ya miaka 12.

Kabla ya hapo ilikuwa vigumu kujua maana tulikuwa tunaishi na maneno ya Wazee kuwa Mtoto ananunuliwa Dukani.

Sio kama watoto wa miaka hii ambapo wao wenyewe wanaanza ngono wakiwa na umri mdogo kabisa.
 
Kwanini unaniita Mwongo?

Hizo ni precautions zilichokuliwa walau kuwasaidia Watoto wa Kike wahitimu Elimu ya Msingi, maana tatizo la mimba za utotoni lilikuwa kubwa sana huko.
Duh🙄, Sawa Mama.
 
Utakuwa mgumu kuelewa Mkuu, nimeeleza kuwa mambo ya kujua mtoto anazaliwa nimekuja kujua nikiwa darasa la sita ambapo nilikuwa na zaidi ya miaka 12.

Kabla ya hapo ilikuwa vigumu kujua maana tulikuwa tunaishi na maneno ya Wazee kuwa Mtoto ananunuliwa Dukani.

Sio kama watoto wa miaka hii ambapo wao wenyewe wanaanza ngono wakiwa na umri mdogo kabisa.
Zaid ya 12 years hujui mtoto anatoka wapi, Hapo ulikua na Manyonyo ulikua hujiulizi yana Kazi gani?
 
Mimi ni Mwanaume Mkuu

Lakini sio watoto wote wamelelewa nje ya maadili.

Mfano binafsi nimekuja kumjua Mwanamke nikiwa na miaka 20, wakati wale walikosa malezi wameanza wakiwa below 15 yrs
 
😅Basi itoshe kukubaliaba nawe Mkuu, Umekulia nyuma ya Dunia ndo Maana.
 
Nimelelewa kwenye maadili Mkuu

Sio jambo la kujivunia kuona Binti asiye kwenye ndoa ama Kijana wa kiume asiye kwenye ndoa kuanza kushiriki ngono.

Najivunia kutokuwa Kijana wa Hovyo
 
Au sio bana😅 Kwamba Mahusiano ni jambo la hovyo?
 
Hii kamba unataka kutufunga hutupati 😂😂😂😂 huyo mtoto ana miaka mingapi?
Btw, Sindano hatushauri zaidi ya mara tatu consecutive so no way ukampa mtu unayetaka asizae soon kama mtoto wa la nne, ungesema kitanzi labda,

Hope next time utaboresha kamba yako
Kuna sehemu niliona mtoto wa darasa la nne eti anachomwa sindano ya kuzuia mimba.

Imagine, hivi akifika umri wa kuolewa wa miaka 24 atakuwa na mayai ya kubeba mimba kweli 🙌
 
Utakuwa mgumu kuelewa Mkuu, nimeeleza kuwa mambo ya kujua mtoto anazaliwa nimekuja kujua nikiwa darasa la sita ambapo nilikuwa na zaidi ya miaka 12.

Kabla ya hapo ilikuwa vigumu kujua maana tulikuwa tunaishi na maneno ya Wazee kuwa Mtoto ananunuliwa Dukani.

Sio kama watoto wa miaka hii ambapo wao wenyewe wanaanza ngono wakiwa na umri mdogo kabisa.
Unaweza kuwa upo sahihi,
Ila inaonekana ulikuwa una shida ya udadis na kutojisomea,
Umri wa miaka 12 ilibid uwe ushayajua hayo na mengine mengi
 
Hii kamba unataka kutufunga hutupati 😂😂😂😂 huyo mtoto ana miaka mingapi?
Btw, Sindano hatushauri zaidi ya mara tatu consecutive so no way ukampa mtu unayetaka asizae soon kama mtoto wa la nne, ungesema kitanzi labda,

Hope next time utaboresha kamba yako
Hali ni mbaya huko mtaani.

Nadhani lengo utakuwa umepata lengo la maandishi yangu.

Iwe ni sindano ama Kitanzi lakini sio jambo la kufurahia kuona binti wa chini ya miaka 18 kuanza kutumia mambo ya uzazi wa mpango at that age.

Unadhani, hali itakuwaje akifika kwenye ndoa.
 
Unaweza kuwa upo sahihi,
Ila inaonekana ulikuwa una shida ya udadis na kutojisomea,
Umri wa miaka 12 ilibid uwe ushayajua hayo na mengine mengi
Hayo mambo ya kutodadisi ndiyo yalifanya Vijana wa zamani kujitunza.

Kama utaweza fanya ulinganishi wa hayo ninayosema
 
Kuna haja ya kujisahihisha, maana athari zake ndiyo zimeanza kuonekana.

Baada ya miaka 20 ijayo hali itakuwa mbaya zaidi
Hali ni mbaya sana mkuu, Mungu atusaidie kwa kweli
Wengine wanafikiri kupiga ni suluhu lakini ndio wanazidi kuwa nunda

Nafikiri wazazi wamesahau majukumu yao bali wanaangalia utafutaji tu na sio malezi
Wengi pia wamekua kwenye maisha ya tabu na kuanza kuwa na kibri wanapopata kitu
 
Mimi mdogo wangu wa mwisho anazaliwa nilikuwa sijui chochote hivo nilishtukia tu mama yupo na mtoto hata kipindi akiwa mjamzito sikutambua chochote
Mm niliambiwa mama ameenda kununua mtoto Muhimbili,
 
Back
Top Bottom