Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah we mzee Ume nichekesha Sana,😁😂🤣Kwa kweli aisee, yaani walituweza sana.
Ingawa kupitia uwongo wa hivi waliweza kulinda maadili, maana ilifikia wakati mwili wa Mwanamke unakuja kuuona wakati wa ndoa ama uchumba ukiforce.
Sio miaka hii, watoto wa darasa la 3 wanajua kut***ana
Kuna sehemu niliona mtoto wa darasa la nne eti anachomwa sindano ya kuzuia mimba.Dah we mzee Ume nichekesha Sana,😁😂🤣
Tuna elekea kubaya Sana, Kuna wadada Wana gawa utam Hadi kwa Toto dogo🤒Kuna sehemu niliona mtoto wa darasa la nne eti anachomwa sindano ya kuzuia mimba.
Imagine, hivi akifika umri wa kuolewa atakuwa na mayai ya kubeba mimba unadhani 🙌
Kweli?Tuna elekea kubaya Sana, Kuna wadada Wana gawa utam Hadi kwa Toto dogo🤒
Facts, Wana wapa kama pipi kidonge🏃🏃🏃Kweli?
Mbona siamini 🙌
Acha ujinga wewe, kuna majirani zangu utotoni binti alikuwa na mtoto mkubwa kuliko wadogo zake wawili wa mwisho!Haitikiwi iwe hivyo,inatakiwa mama afunge uzazi mapema siyo mtoto mpaka anajua kwamba mama ana mimba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ujinga wewe, kuna majirani zangu utotoni binti alikuwa na mtoto mkubwa kuliko wadogo zake wawili wa mwisho!
Yaani jamaa alianza darasa la Kwanza wakati wajomba zake wako nyumbani wakisubiria wafikie umri wa kwenda shule[emoji16][emoji16].
Tukawa tunamtania awaamkie wajomba zake!
Hahaha.......kwahiyo watu hawataki kusubiri tunda liive 🤪🙌🏃🏃Facts, Wana wapa kama pipi kidonge🏃🏃🏃
Mi mpaka naogopa, Kuna ka mdada ka kubwa hako😁😀.Hahaha.......kwahiyo watu hawataki kusubiri tunda liive 🤪🙌🏃🏃
Walikuwa na hekma na maadili sanaUmenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.
Nimekuja kujua mtoto anazaliwa baada ya kusoma topic ya Ukuaji kwenye somo la Sayansi darasa la 6.
Kweli Wazee wa Zamani walituweza 🙌
Ni kweli MkuuWalikuwa na hekma na maadili sana
Huwezi kumuona mama akiwa mjamzito bali walikuwa wanaficha sana tumbo
Ila leo hii mmh unasifiwa kabisa
Mambo yamebadilika sana
Hahahaha.............yeye haogopi kutaka kumvulia nguo mdogo wake wa mwisho 🤪Mi mpaka naogopa, Kuna ka mdada ka kubwa hako😁😀.
👉Ila kanavyo act Kama tuko age sawa😀😁
Time enda barbershop leo, wale wadada wame kaa ki wizi wizi😂🤣, sema wata hadithiaHahahaha.............yeye haogopi kutaka kumvulia nguo mdogo wake wa mwisho 🤪
Kuwa nao makiniTime enda barbershop leo, wale wadada wame kaa ki wizi wizi😂🤣, sema wata hadithia
Mmoja alikuwa ana nifunga kitambaa ki fisi fisi😂🤣, Nime maliza Nika ondoka bila kuoshwa😂🤣🤣😁Kuwa nao makini
Vijana siku hizi hata wazazi wao hawawaheshimu achilia mbali watu bakiNi kweli Mkuu
Ndiyo maana maadili yamepungua miongoni mwa vijana wa kisasa
Kuna haja ya kujisahihisha, maana athari zake ndiyo zimeanza kuonekana.Vijana siku hizi hata wazazi wao hawawaheshimu achilia mbali watu baki
Nimeshuhudia dogo akiniuloza SHIDA? ofisi ya serikali tena bila soni usoni
Ila hakujua kuwa boss wake nilisoma nae, mpumbavu sana eti baadae ananiamkia nilimungalia tu
Tumese tu Ulikua kilaza kama Sio Uongo huu. Std Six ulikua na 4 years ama?Umenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.
Nimekuja kujua mtoto anazaliwa baada ya kusoma topic ya Ukuaji kwenye somo la Sayansi darasa la 6.
Kweli Wazee wa Zamani walituweza 🙌
Hatari sanaMmoja alikuwa ana nifunga kitambaa ki fisi fisi😂🤣, Nime maliza Nika ondoka bila kuoshwa😂🤣🤣😁