Hahahhumu huwa sipendi kubishana
kwa uzowefu raha ya kubishana ni uso kwa uso nikucheke nikuzomee
mpaka walikua wakiniona naanza kubisha
watu watasema tupo upande wako
au kama mtu hanijui akaanza kubishana na mimi watamuuliza we vipi mbona unabishana na Google
Id mpya niniHuyo ni mimi mkuu..
Id mpya niniHuyo ni mimi mkuu..
EeehId mpya nini
Id mpya nini
Muhimu sana hizo hata mimi naelewa umuhimu wakeEeeh
Hiyo ya kulia ujana.
pcb old boizMkuu ilikuw PCB au PGM ?
2010Umesoma mwaka gani?
Teh teh tehNilikuwa msafi mnooo mpk nikachaguliwa kuwa dada mkuu wa shule
Kweli kabisa nina kukumbukaNilikuwa msafi mnooo mpk nikachaguliwa kuwa dada mkuu wa shule
Pope sana menyi kwa yaliyo kukuta[emoji23] [emoji23]Duh!!
Kwanza nilikuwa mtundu sana,mpaka nikapewa uongozi Ili niwadhibiti watundu wenzangu.
Pili,nilikuwa na some sort of ukorofi nikapewa jina dakika mbili mbele.
Tatu,kuna mwalimu alikosea kusema neno la kiingereza assembly,alisema menyi instead of many,nilitoa kicheko kimoja hiko ambacho kilinigharimu nililambwa bakora za Maana. Majina yote yakafa nikaanza kuitwa menyiii