Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

humu huwa sipendi kubishana
kwa uzowefu raha ya kubishana ni uso kwa uso nikucheke nikuzomee

mpaka walikua wakiniona naanza kubisha
watu watasema tupo upande wako
au kama mtu hanijui akaanza kubishana na mimi watamuuliza we vipi mbona unabishana na Google
Hahah
 
Nilisifiwa kwa utoro sana lkn ikija paper nakua miongoni mwa waiofaulu
 
Nilikuwa nawapelekesha wenzangu kwa upande wa somo la history, nilikuwa mtaalamu sana kwa hlo somo na had sasa bado nakimbiza ile mbaya
 
Primary nilikuw sijitambui lakini nikawa na Zari la kupendwa na walimu, full kunywa chai zao saa nne. Uzuri nilikuwa vzur class so wakawa wananikubali.
Kimbembe kilianza O'level yaan nilikuwa na bifu mpk na Mwl mkuu. Akitokea tu class tunapishana kwny kona ya mlango. Ubaya nilikuwa wa mwisho kuingia class halafu wa kwanza kufunga Office, ile saa saba tu nishajiachia zangu maskani. Kingine nilikuwa mvivu sana wa kubeba madaftari, nakumbuka nimemaliza 4m4 na madaftari mawili tu tena rafu mchanganyiko hakuna notice zenye kumaliza topic. Advance ndo kabisa ile shule nilikuwa kama mtoto yatima yaan full msuli wa kujitegemea.
 
Kwanza tukianzia primary nilkua mkimya sana alafu mtoro wa kutupwa bila kusahau wizi nakumbka mm na wenzang tuliiba pesa buku tatu enz hizo ni mkwanja mrefu sana tukaenda kununua saa na madonati.tulishkwa tukapelekwa police.police wakasema sisi bado watoto ko tuka chapwa bakora za maana kisha wakatuacha
secondary sasa...nilikua mtoro nilie kufuru alafu mwizi nilimuibia ticha buku ten yake alisara cku hyo akanitumia wanafunzi wanishke ila hawakueza coz nilkua mzur kwenye mbio.
Pamoja na ukorofi wote mpaka na maliza skuli ckuwai kua na demu japokua nilikua na wachora tatoo sehem mbalimbali.
 
Upole, unyenyekevu, utaratibu, usafi mambo yaliyopelekea nipendwe na mademu wengi
 
Ishu ya mwandiko pale skonga nilikua famous japokua iliambatana na utoro
 
Duh!!
Kwanza nilikuwa mtundu sana,mpaka nikapewa uongozi Ili niwadhibiti watundu wenzangu.
Pili,nilikuwa na some sort of ukorofi nikapewa jina dakika mbili mbele.
Tatu,kuna mwalimu alikosea kusema neno la kiingereza assembly,alisema menyi instead of many,nilitoa kicheko kimoja hiko ambacho kilinigharimu nililambwa bakora za Maana. Majina yote yakafa nikaanza kuitwa menyiii
Pope sana menyi kwa yaliyo kukuta[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom